Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

Kwa hiyo tumpuuze?
 
Wewe mleta uzi; mbona hatutajiuliza na wala kukuuliza ni kwa nini sasa hivi hunyonyi, hutambai, wakati uliwahi kunyonya na kutambaa hapo nyuma? Au mbona una nafasi (hatuijui ) fulani sasa wakati labda uliwahi kuwa darasa la kwanza miaka fulani nyuma. Iweje hukubakia anayenyonya, anayetambaa na hata mwanafunzi wa darasa la kwanza daima?
 
Hauna akili.

Sasa la huko nyuma alikaa kimya, na hakuwepo na wizi wa Rasilimali, ulitaka aongee nn??.


Sasa mawizi ni waziwazi, unataka akae kimya?.


Wee ni Mmoja wa Umoja wa wajinga wa JF (UWaJF).
 
Wewe Mtanzania hudhria mkutano huu adhimu wa kulinda urithi wa watoto wako hadi vizazi vijavyo.
 
Wewe jamaa mbona unauliza maswali mepesi,kwani huyu mzee ndo anakosoa huu mkataba au umekosa kauli ya kutaka kusema amekosa teuzi wakati ni barozi?
 
Huko nyuma kuna Bandari iliuzwa?
 
Wamepitisha mkataba wanaouita ni Maridhiano, Lakini cha Moto wanakiona.

Angalia hata ongeaji ya mheshimiwa Raisi Jana inaonekana kabisa Hana furaha na huu mkataba lakini Hana jinsi ya kufanya.
Hana jinsi ya kufanya vipi wakati na yeye yumo,bado analazimisha kwamba sisi tunachezea bahati,kuchezea bahati kwenye mkataba wake yeye na watoto wake?
 
Kumekucha! Mpaka wateme ndoano ama walete diko 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…