mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Dkt. Wilbroad Slaa akihojiwa na kituo cha redio leo asubuhi amedai kuwa yeye bado anatambulika kama Balozi kwani hana barua rasmi ya kuondolewa hadhi hiyo.
Dkt. Slaa ameongeza kuwa yeye ana barua ya Ubalozi na Kiapo cha Ubalozi, hayo mengine hayatambui.
Ikumbukwe kuwa Septemba 1, 2023 Rais Samia alimvua Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi bila kutaja sababu ya maamuzi hayo lakini watu wengi wanadai ni kutokana na Dkt. Slaa kuwa mwiba mkali kwa Serikali ya awamu ya sita hasa suala la mkataba wa DP World.
Pia soma