FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Bado wana hadhi zao za ubalozi ambao siyo wasaliti.Kwani mabalozi wa zamani hadhi zao zimeisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wana hadhi zao za ubalozi ambao siyo wasaliti.Kwani mabalozi wa zamani hadhi zao zimeisha?
Haijalishi kateuliwa na nani, sasa siyo balozi, anajidai tu.Dr Slaa ndio aliratibu ziara ya baba Mtakatifu Papa Yohane Paul aliyeketi Kitini pake Mtume Petro
Padre Slaa aliteuliwa na Rais Mwinyi kuongoza Jopo la Itifaki ya baba Mtakatifu
Hivi karibuni Uongozi wa juu wa CCM akiwemo Mwenyekiti, Katibu mkuu, Rostam Aziz, Hussein Bashe na Makamba jr walimtembelea baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro huko Vatican 😀
Kwahiyo na mshahara bado analipwa
Balozi ,Dkt Wilbroad Slaa nadhani inakuwa hivyoCheo chake akiwezi kuisha ni kama rais,PM etc ,katika utambulisho lazima usema Balozi Mstaafu.
Title haifutiki hata kama rais kaifuta bado ataendelea kuitambulika kama Balozi mstaafu.
Bila Usaliti hakunaga UkomboziHaijalishi kateuliwa na nani, sasa siyo balozi, anajidai tu.
Huyo msaliti hata kanisa lililomsomesha alilisaliti.
Mshumbusi bado yupo? Au na yeye kamsaliti?
Hao walisaliti au chama cha ukoo kiliwashinda?Bila Usaliti hakunaga Ukombozi
Zitto Kabwe na Prof Kitila Mkumbo waliisaliti Chadema na sasa ndio wanaendesha Uchumi wa Tanganyika na Zanzibar 😄😄🔥
Unadhani kwanini January hampi Balozi Padre Dr Slaa barua ya utumbuzi?! 🐼
Nasikia wakina mondi,konde gang,mwijaku,baba level dotto magari wakipita hapo hamuwapapasi ...kweli mkuuAje apite hapa JULIUS NYERERE IA aone kama hatutampapasa kwenye mashati yake ...
Mkuu,Njaa imembana amekumbuka hadhi ya ubalozi ndio shida ya kufuata mikumbo isiyo na maana wakati ubalozi ungemtunza kwa hali yake ya sasa.
Umemsahau HajjiNasikia wakina mondi,konde gang,mwijaku,baba level dotto magari wakipita hapo hamuwapapasi ...kweli mkuu
Ova
Njaa imembana amekumbuka hadhi ya ubalozi ndio shida ya kufuata mikumbo isiyo na maana wakati ubalozi ungemtunza kwa hali yake ya sasa.
Kwanini hampiBila Usaliti hakunaga Ukombozi
Zitto Kabwe na Prof Kitila Mkumbo waliisaliti Chadema na sasa ndio wanaendesha Uchumi wa Tanganyika na Zanzibar 😄😄🔥
Unadhani kwanini January hampi Balozi Padre Dr Slaa barua ya utumbuzi?! 🐼
Huyo alikuwa balozi wa mwendazake siyo balozi wa utawala uliopo.
🔬Huyo alikuwa balozi wa mwendazake siyo balozi wa utawala uliopo.
Ukiona mtu anaanzisha mambo ya dini ujuwe kaishiwa na hoja.Naona ndugu zangu waislamu mna chuki ni Slaa.
Basi aende akachukue mshahara wake NMB kama kweli bado ni Balozi.Dkt. Wilbroad Slaa akihojiwa na kituo cha redio leo asubuhi amedai kuwa yeye bado anatambulika kama Balozi kwani hana barua rasmi ya kuondolewa hadhi hiyo.
Dkt. Slaa ameongeza kuwa yeye ana barua ya Ubalozi na Kiapo cha Ubalozi, hayo mengine hayatambui.
Ikumbukwe kuwa Septemba 1, 2023 Rais Samia alimvua Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi bila kutaja sababu ya maamuzi hayo lakini watu wengi wanadai ni kutokana na Dkt. Slaa kuwa mwiba mkali kwa Serikali ya awamu ya sita hasa suala la mkataba wa DP World.
Pia soma
Sababu ya kumvua ubalozi ilikuwa ni kupinga kuuzwa kwa bandari za Tanganyika
Serikali haijauza bandari, imezigawa bureSababu ya kumvua ubalozi ilikuwa ni kupinga kuuzwa kwa bandari za Tanganyika