Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hahaha.....sina commentDkt. Wilbroad Slaa akihojiwa na kituo cha redio leo asubuhi amedai kuwa yeye bado anatambulika kama Balozi kwani hana barua rasmi ya kuondolewa hadhi hiyo.
Dkt. Slaa ameongeza kuwa yeye ana barua ya Ubalozi na Kiapo cha Ubalozi, hayo mengine hayatambui.
Ikumbukwe kuwa Septemba 1, 2023 Rais Samia alimvua Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi bila kutaja sababu ya maamuzi hayo lakini watu wengi wanadai ni kutokana na Dkt. Slaa kuwa mwiba mkali kwa Serikali ya awamu ya sita hasa suala la mkataba wa DP World.
Pia soma
Na anadai hajapokea barua kutoka mamlaka ya kumvua hichp cheoSababu ya kumvua ubalozi ilikuwa ni kupinga kuuzwa kwa bandari za Tanganyika
Uzee umekamilikaDkt. Wilbroad Slaa akihojiwa na kituo cha redio leo asubuhi amedai kuwa yeye bado anatambulika kama Balozi kwani hana barua rasmi ya kuondolewa hadhi hiyo.
Dkt. Slaa ameongeza kuwa yeye ana barua ya Ubalozi na Kiapo cha Ubalozi, hayo mengine hayatambui.
Ikumbukwe kuwa Septemba 1, 2023 Rais Samia alimvua Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi bila kutaja sababu ya maamuzi hayo lakini watu wengi wanadai ni kutokana na Dkt. Slaa kuwa mwiba mkali kwa Serikali ya awamu ya sita hasa suala la mkataba wa DP World.
Pia soma
Hii kutetemekea vyeo ndio kumewafanya wanaccm karibia wote kuwa watumwa wa watawala, hata wakifanya mambo ya hovyo.Njaa imembana amekumbuka hadhi ya ubalozi ndio shida ya kufuata mikumbo isiyo na maana wakati ubalozi ungemtunza kwa hali yake ya sasa.
Rais ana fitina sana huyu. 2025 akipata tena urais nchi itafitinika kabisa.Ikumbukwe kuwa Septemba 1, 2023 Rais Samia alimvua Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi bila kutaja sababu ya maamuzi hayo lakini watu wengi wanadai ni kutokana na Dkt. Slaa kuwa mwiba mkali kwa Serikali ya awamu ya sita hasa suala la mkataba wa DP World.
Aje apite hapa JULIUS NYERERE IA aone kama hatutampapasa kwenye mashati yake ...Dkt. Wilbroad Slaa akihojiwa na kituo cha redio leo asubuhi amedai kuwa yeye bado anatambulika kama Balozi kwani hana barua rasmi ya kuondolewa hadhi hiyo.
Dkt. Slaa ameongeza kuwa yeye ana barua ya Ubalozi na Kiapo cha Ubalozi, hayo mengine hayatambui.
Ikumbukwe kuwa Septemba 1, 2023 Rais Samia alimvua Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi bila kutaja sababu ya maamuzi hayo lakini watu wengi wanadai ni kutokana na Dkt. Slaa kuwa mwiba mkali kwa Serikali ya awamu ya sita hasa suala la mkataba wa DP World.
Pia soma
Hv mabalozi wastaafu bado wanakuwa analipwa? Na kama wanalipwa bc yeye kama halipwi ndo ajue hana hicho cheoKwahiyo na mshahara bado analipwa
Dkt. Slaa ndio aliratibu ziara ya baba Mtakatifu Papa Yohane Paul aliyeketi Kitini pake Mtume PetroHuyo alikuwa balozi wa mwendazake siyo balozi wa utawala uliopo.
Sasa anataka kupewa barua rasmi atapewa kwenye media asubiri!Dkt. Wilbroad Slaa akihojiwa na kituo cha redio leo asubuhi amedai kuwa yeye bado anatambulika kama Balozi kwani hana barua rasmi ya kuondolewa hadhi hiyo.
Dkt. Slaa ameongeza kuwa yeye ana barua ya Ubalozi na Kiapo cha Ubalozi, hayo mengine hayatambui.
Ikumbukwe kuwa Septemba 1, 2023 Rais Samia alimvua Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi bila kutaja sababu ya maamuzi hayo lakini watu wengi wanadai ni kutokana na Dkt. Slaa kuwa mwiba mkali kwa Serikali ya awamu ya sita hasa suala la mkataba wa DP World.
Pia soma
Kwani mabalozi wa zamani hadhi zao zimeisha?Huyo alikuwa balozi wa mwendazake siyo balozi wa utawala uliopo.
HUYU MDINI TU UNAMUHANGAISHA. AKIJA RAIS MUISLAM ANAKUWA MKALI SANA, AKIWA RAIS MKIRISTO ANAKUWA KARIBU NA MTAWALADkt. Wilbroad Slaa akihojiwa na kituo cha redio leo asubuhi amedai kuwa yeye bado anatambulika kama Balozi kwani hana barua rasmi ya kuondolewa hadhi hiyo.