Dkt. Slaa: Bado nina hadhi ya Ubalozi

Haijalishi kateuliwa na nani, sasa siyo balozi, anajidai tu.

Huyo msaliti hata kanisa lililomsomesha alilisaliti.

Mshumbusi bado yupo? Au na yeye kamsaliti?
 
Haijalishi kateuliwa na nani, sasa siyo balozi, anajidai tu.

Huyo msaliti hata kanisa lililomsomesha alilisaliti.

Mshumbusi bado yupo? Au na yeye kamsaliti?
Bila Usaliti hakunaga Ukombozi

Zitto Kabwe na Prof Kitila Mkumbo waliisaliti Chadema na sasa ndio wanaendesha Uchumi wa Tanganyika na Zanzibar ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ”ฅ

Unadhani kwanini January hampi Balozi Padre Dr Slaa barua ya utumbuzi?! ๐Ÿผ
 
Hao walisaliti au chama cha ukoo kiliwashinda?

Slaa si alikuwa huko? Nini kilimshinda, au alisaliti na huko?
 
Aje apite hapa JULIUS NYERERE IA aone kama hatutampapasa kwenye mashati yake ...
Nasikia wakina mondi,konde gang,mwijaku,baba level dotto magari wakipita hapo hamuwapapasi ...kweli mkuu

Ova
 
Njaa imembana amekumbuka hadhi ya ubalozi ndio shida ya kufuata mikumbo isiyo na maana wakati ubalozi ungemtunza kwa hali yake ya sasa.
Mkuu,

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

Peter Slaa ni akili kubwa.

Moja kati ya wanasiasa walioamsha bongo za watanzania wengi kuhusu ujasiri, kujenga hoja lakini pia kuiwajibisha serikali.

Usimchukulie poa mzee Slaa.

Huyo mzee ni jasiri zaidi ya vijana 100,000 wa Tanzania wewe ukiwemo.
 
Aliyekuwa Kamishna General wa TRA Ndugu Kidata pia anatakiwa arudishiwe hadhi ya Ubalozi.
 
Njaa imembana amekumbuka hadhi ya ubalozi ndio shida ya kufuata mikumbo isiyo na maana wakati ubalozi ungemtunza kwa hali yake ya sasa.

Crap. Umeambiwa ameulizwa, lakini inaonekana huelewi!! Alitaka hata akiulizwa, asijibu!!
 
Bila Usaliti hakunaga Ukombozi

Zitto Kabwe na Prof Kitila Mkumbo waliisaliti Chadema na sasa ndio wanaendesha Uchumi wa Tanganyika na Zanzibar ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ”ฅ

Unadhani kwanini January hampi Balozi Padre Dr Slaa barua ya utumbuzi?! ๐Ÿผ
Kwanini hampi
 
Huyo alikuwa balozi wa mwendazake siyo balozi wa utawala uliopo.

Hivi kumbe una uelewa mdogo kiasi hiki!! Na kwa umri huo, kama bado huelewi hata mambo madogo kiasi hicho, basi maisha yako yote ni hasara tupu.

Kwa upeo wako, hivi Rais akimteua mtu kuwa Jaji anakuwa jaji wa Rais aliyemteua?

Haya elewi jambo hili dogo. Balozi ni title siyo responsibility, bali ili uwe mwakilishi wa nchi ni lazima uwe na title ya ya ubalozi. Unaweza kuwa balozi lakini usiwe na responsibility yeyote.
Ukitunukiwa udokta (PhD), huwi dokta wa yule aliyekutunuku. Kilichokutunuku ni mamlaka ya ofisi siyo yeye kama individual.
 
Naona ndugu zangu waislamu mna chuki ni Slaa.
 
Naona ndugu zangu waislamu mna chuki ni Slaa.
Ukiona mtu anaanzisha mambo ya dini ujuwe kaishiwa na hoja.

Kwa kukujuza, Uislam unakataza Muislam kumchukia yeyote kwa dini yake au kwa namna yoyote ile.

Usome Uislam.
 
Basi aende akachukue mshahara wake NMB kama kweli bado ni Balozi.

Kumษ“e watu wakizeeka huzeeka hata akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ