Dkt. Slaa: Bado nina hadhi ya Ubalozi

Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba!
 
Naungana na Dr, kama aliteuliwa kwa barua, na kutenguliwa ni kwa barua, hivyo kama ametenguliwa tuu kwa kauli na hakuna barua yoyote ya utenguzi, then Dr. Slaa, bado ni Balozi. Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?
P
 
Kama ni kweli Samia alimvua Dr Slaa hadhi ya ubalozi itakua jambo la kipuuzi kabisa. Na hili ni mojawapo ya mambo yanawafanya wananchi wenye kumuenzi Magufuli kumuona mama sio kiongozi mzalendo. Kama hawajamuandikia barua bila shaka mama atakua amegundua haukua uamuzi sahihi kumfanyia mtu mwenye hadhi kama Dr Slaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…