Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Kesi ya Ugaidi ilikuwa Kweli ndo maana watu wanafurahia maridhiano wanajua maovu waliyoyafanya,
 
Tunakushukuru sana Mungu kwa kutuondolea huyu Mamluki Chadema
Huyu mnayedai ni mamluki ndio amegeuka think tank wenu hata kuwaongoza kwenye way forward na kushiriki maandamano na mshirika mkubwa wa kumtetea Lisu.Na kwa sababu kumbukumbu yenu ni ndogo sana mnamkumbatia sasa kama kawaida yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…