Hayo ya kuunga juhudi mimi siyajadili kwenye mada hii, ukitaka kujuwa ninakosimamia kuhusu hilo, nenda kwenye mada inayozungumzia hilo.Inategemea
Ila Kwa ishu kama ya slaa ya kuwalaumu chadema eti hawaungi mkono movement yake ni ya kijinga sababu kwanza yeye sio mwanachama wa chadema
Ofisi za msajili zipo wazi jumatatu mpaka ijumaa
Mbona zito alitumia haki yake
Hakuna mtu ambaye atafuti fulsa hapa duniani anayekuambia hivyo ni mnafki
Hakuna mtu anayefanya kazi ya bure hapa dunian
USasa mtu mbuzi kama wewe unataka nijadili kitu gani cha maana na wewe?
Nenda kafikirie hili kwanza, ukiona unazo akili za kutosha njoo hapa tumjadili huyo Mbowe unayedhani ni kila kitu kwako.
Narudia tena. Mpeleke Slaa sebuleni kwako ukakae naye. Kwanini unatung'ang'aniza? Sisi tulishamalizana naye, ebo? Tukana matusi yooooote, lakini Slaa hatumtaki.Wacha upumbavu unapojibu hoja zilizo juu ya uwezo wako. Najua huna uwezo wa kujadili lolote la maana hapa.
Huyo 'artfactcollector' ni hawa watafuta fursa tu za kutupiwa makombo ya hapa na pale. Wao maslahi ya nchi na wananchi wake hayawahusu kabisa, kama walivyo hao wanaowatupia makombo.Mko upande fyongo wa historia. Endeleeni kukenua na fursa. Vipaumbele vyetu viko wazi.
Sina muda wa kupoteza na mtu wa aina yako. Hata sijui umeibukia wapi leo na kuwa na 'guts' za ku-'quote' nilichoandika.U
Narudia tena. Mpeleke Slaa sebuleni kwako ukakae naye. Kwanini unatung'ang'aniza? Sisi tulishamalizana naye, ebo? Tukana matusi yooooote, lakini Slaa hatumtaki.
Je chadema waliompokea lowasa waliomwita fisadi wakamtembeza nchi nzima nakuona anafaa urais dk slaa akaona unafiki huu akaondoka je nani msaliti?Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Wassira: Chadema Chagueni Moja mnataka Nusu Mkate au Mwabukusi?Wengi wao ni CCM na vibaraka wao. Wengine ni Chadema uchwara hasa wasaka fursa - ubunge na ruzuku:
Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa
Huyo 'artfactcollector' ni hawa watafuta fursa tu za kutupiwa makombo ya hapa na pale. Wao maslahi ya nchi na wananchi wake hayawahusu kabisa, kama walivyo hao wanaowatupia makombo.
Vuta higher degree of thinking! Lowasa was a hot cake by then even in CCM. Waliimba wote tuna Imani na lowasa, mpaka Magufuli akasema angelikuwa Kikwete angeliwapoteza nusu yao! Chadema walikuwa wanatafuta mtu anayeweza kuvuta watu ambaye bila shaka yoyote alikuwa Lowasa! na bila mizengwe ya CCM angelikuwa Rais! Ulikuwa ni uamuzi mzuri ingawa una makandokando yake. You weight the benefits and loses then you go for the better!Je chadema waliompokea lowasa waliomwita fisadi wakamtembeza nchi nzima nakuona anafaa urais dk slaa akaona unafiki huu akaondoka je nani msaliti?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wassira: Chadema Chagueni Moja mnataka Nusu Mkate au Mwabukusi?
Chadema ndio WasalitiJe chadema waliompokea lowasa waliomwita fisadi wakamtembeza nchi nzima nakuona anafaa urais dk slaa akaona unafiki huu akaondoka je nani msaliti?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kisha akasepa na kijiji kurudi CCM πππ₯Vuta higher degree of thinking! Lowasa was a hot cake by then even in CCM. Waliimba wote tuna Imani na lowasa, mpaka Magufuli akasema angelikuwa Kikwete angeliwapoteza nusu yao! Chadema walikuwa wanatafuta mtu anayeweza kuvuta watu ambaye bila shaka yoyote alikuwa Lowasa! na bila mizengwe ya CCM angelikuwa Rais! Ulikuwa ni uamuzi mzuri ingawa una makandokando yake. You weight the benefits and loses then you go for the better!
sasa matusi ya nini? Jibu hoja hata kama slaa ni baba yako. Jibu hoja! matusi hayana tija. Muulize huyo aliyekuleta duniani kama we are folosYou're just fools
whatever!Fortune = ruzuku = good business
'Think tank' ya Taifa inazidi kuchochora
Kwa mazoea vijana ndio tegemeo la taifa kwa Mawazo mapya Mawazo chanya Kwa utayari Kwa nguvu kazi Kwa uchapakazi Weledi Uzalendo Nknk Bongo bado ziko timamu, damu zinachemka na miili imejaa nishati.. Kwa muktadha huo na kwa miongozo sahihi na misingi imara vijana ni hazina kubwa kwa maendeleo...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
DP World katua Ufipa st πππ₯Inasikitisha sana:
ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama
Ghafla tuko ki maokoto zaidi.
kwani nani anakuzuia, hata ukamleta kwenu nyumbani swa!Nawe unajisema tuuu! Kwani hata historia inayohitaji kumbukumbu ni ngumu kuielewa? Slaa Aliteuliwa ubalozi tokea CHADEMA? Tusilazimishe uelewa wenu mdogo.
Kinachowasumbua wengi hapa hata siyo Mbowe au CHADEMA, ni kutaka kuondoa uaminifu wa Slaa ili yote aliyoyasema kuhusu Bandari ionekane ni uongo. That's rubbish.
Tutamsikiliza hata kichaa siku anayosema ukweli, FINITO!