Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Inategemea
Ila Kwa ishu kama ya slaa ya kuwalaumu chadema eti hawaungi mkono movement yake ni ya kijinga sababu kwanza yeye sio mwanachama wa chadema
Ofisi za msajili zipo wazi jumatatu mpaka ijumaa
Mbona zito alitumia haki yake
Hayo ya kuunga juhudi mimi siyajadili kwenye mada hii, ukitaka kujuwa ninakosimamia kuhusu hilo, nenda kwenye mada inayozungumzia hilo.
Ila ninachoona hapa nyinyi ni genge tu la kulipwa, mtindo ule ule anaotumia Samia na machawa wake.
Watu wa aina yenu nawadharau sana.
 
Sasa mtu mbuzi kama wewe unataka nijadili kitu gani cha maana na wewe?
Nenda kafikirie hili kwanza, ukiona unazo akili za kutosha njoo hapa tumjadili huyo Mbowe unayedhani ni kila kitu kwako.
U
Wacha upumbavu unapojibu hoja zilizo juu ya uwezo wako. Najua huna uwezo wa kujadili lolote la maana hapa.
Narudia tena. Mpeleke Slaa sebuleni kwako ukakae naye. Kwanini unatung'ang'aniza? Sisi tulishamalizana naye, ebo? Tukana matusi yooooote, lakini Slaa hatumtaki.
 
Mko upande fyongo wa historia. Endeleeni kukenua na fursa. Vipaumbele vyetu viko wazi.
Huyo 'artfactcollector' ni hawa watafuta fursa tu za kutupiwa makombo ya hapa na pale. Wao maslahi ya nchi na wananchi wake hayawahusu kabisa, kama walivyo hao wanaowatupia makombo.
 
U

Narudia tena. Mpeleke Slaa sebuleni kwako ukakae naye. Kwanini unatung'ang'aniza? Sisi tulishamalizana naye, ebo? Tukana matusi yooooote, lakini Slaa hatumtaki.
Sina muda wa kupoteza na mtu wa aina yako. Hata sijui umeibukia wapi leo na kuwa na 'guts' za ku-'quote' nilichoandika.
Huna lolote la maana ninaloweza kujadili na mtu kama wewe.
 
Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.

Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU

KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Je chadema waliompokea lowasa waliomwita fisadi wakamtembeza nchi nzima nakuona anafaa urais dk slaa akaona unafiki huu akaondoka je nani msaliti?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kutumia saikolojia niliyosoma seminari naweza kujua mawazo ya kila mtu humu ukumbimi! ............................................................. Dr. SLAA
😅😅😅😅 MSWAHILI BWANA!
 
Huyo 'artfactcollector' ni hawa watafuta fursa tu za kutupiwa makombo ya hapa na pale. Wao maslahi ya nchi na wananchi wake hayawahusu kabisa, kama walivyo hao wanaowatupia makombo.

Ni jambo la kusikitisha kuwa Chadema maslahi wanachukizwa na jitihada zozote za maana za wengine. Wameshindwa hata kukaa kimya tu.
 
Je chadema waliompokea lowasa waliomwita fisadi wakamtembeza nchi nzima nakuona anafaa urais dk slaa akaona unafiki huu akaondoka je nani msaliti?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Vuta higher degree of thinking! Lowasa was a hot cake by then even in CCM. Waliimba wote tuna Imani na lowasa, mpaka Magufuli akasema angelikuwa Kikwete angeliwapoteza nusu yao! Chadema walikuwa wanatafuta mtu anayeweza kuvuta watu ambaye bila shaka yoyote alikuwa Lowasa! na bila mizengwe ya CCM angelikuwa Rais! Ulikuwa ni uamuzi mzuri ingawa una makandokando yake. You weight the benefits and loses then you go for the better!
 
Kisha akasepa na kijiji kurudi CCM 😂😂🔥
 
Sent using Jamii Forums mobile app

Inasikitisha sana:

ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

Ghafla tuko ki maokoto zaidi.
 
Yule Babu huenda kajiunga na kitengo ili aje kutuvuruga.
 
Nawe unajisema tuuu! Kwani hata historia inayohitaji kumbukumbu ni ngumu kuielewa? Slaa Aliteuliwa ubalozi tokea CHADEMA? Tusilazimishe uelewa wenu mdogo.
Kinachowasumbua wengi hapa hata siyo Mbowe au CHADEMA, ni kutaka kuondoa uaminifu wa Slaa ili yote aliyoyasema kuhusu Bandari ionekane ni uongo. That's rubbish.

Tutamsikiliza hata kichaa siku anayosema ukweli, FINITO!
kwani nani anakuzuia, hata ukamleta kwenu nyumbani swa!
 
Back
Top Bottom