Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hela haikataliwi mkuu kutokana na umasikini, ni kama tunavyochukua pesa za wanaoamini ushoga wakati hatuukubali. Lakini 2020 hakukuwa na uchaguzi bali ushenzi wa kiwango cha juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela haikataliwi mkuu kutokana na umasikini, ni kama tunavyochukua pesa za wanaoamini ushoga wakati hatuukubali. Lakini 2020 hakukuwa na uchaguzi bali ushenzi wa kiwango cha juu.
Yani nitasapoti kwa moyo mkunjufu movement za Umoja PartyHakika, wakijitambua, mbona watakua na mtaji mkubwa sana .
Watu waelewe, CCM ya Sasa, ni CCM ya 2005-2015.
CCM ilochukiwa haswahaswa.
Kwa Chama Cha upinzzan Makini ambacho kitagusa Mtanzania Moja Kwa Moja.
Kitakua na mtaji mkubwa wa watu
Chadomooo wamebaki kutetea ujingaaa .
Hakusaliti bali yeye ndio aliyesalitiwa kwa kuletwa Lowasa.Atuombe radhi kwanza waTZ Kwa kutusaliti.
Hakusaliti bali yeye ndio aliyesalitiwa kwa kuletwa Lowasa.
Walipata umaarufu na kupendwa kupitia vita yao ya ufisadi wakaja kuisaliti kwa kumkaribisha waliemtuhumu ufisadi kwa miaka mingi.Ni zaidi ya hivyo @ Ndugu!
Kuna mambo hutokea inabidi maamuzi yafanyike Na yakofanyika vile.
Halafu Kwani tatizo lilikuwa ni nini?!
Kwani upande ule alokuwa msafi alikuwa yupi?
Na hata hao wengine Pengine ni Wasafi sababu fursa bado hawajazipata!
Ndio maana TEC wanataka Viongozi waondolewe kinga.
Deep down naamini unaumia sana hawa wenzio kukubali kupokea ruzuku, by the way kwani kipindi kile kuna mtu aliwanyima ruzuku?Hela haikataliwi mkuu kutokana na umasikini, ni kama tunavyochukua pesa za wanaoamini ushoga wakati hatuukubali. Lakini 2020 hakukuwa na uchaguzi bali ushenzi wa kiwango cha juu.
Hilo lijina msiwe mnataja muda wa kufuturu tunatapikaKama ni kweli basi Nitajenga Ofisi ya Chama ya Kata na nitakua Mwanachama kindaki ndaki .
Muhimu wafuate sera za Magufuli
Deep down naamini unaumia sana hawa wenzio kukubali kupokea ruzuku, by the way kwani kipindi kile kuna mtu aliwanyima ruzuku?
Walitoa sababu gani wakati wanaikataa na wametoa sababu gani leo za kuikubali?
Yani ina maana wasingeweza kuishi bila ruzuku?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Umemaliza? Hongera, ndipo uwezo wako ulipoishia. 😂Anzisha chama chako tuone.
Sio kukaa unakandia tu eti hatuna chama cha upinzani!
Kwa mawazo yako unataka chama cha upinzani kiweje?
Kiingie mstuni na kuanzisha vita?
Ndiomaana nikauliza sasa, "kwahiyo ule, unauchukulia kama usaliti wenye faida?"Kwenye nadharia ya kufanya maamuzi huzingatia kile chenye faida nyingi kuliko hasara.
Hapo itanikumbusha uleusemi uliotamkwa na bwana yesu kuwa petro utachukuliwa namtu na utakwenda usipo kutaka naona na Dr slaa atakuwa nae ikitokea ataenda asipo kutakaNdio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!