Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Sasa hivi hatuna chama cha upinzani ni sanaa tupu zinaendelea
Anzisha chama chako tuone.
Sio kukaa unakandia tu eti hatuna chama cha upinzani!
Kwa mawazo yako unataka chama cha upinzani kiweje?
Kiingie mstuni na kuanzisha vita?
 
Kiukweli Dr Slaa ni kama "Bob Junior" (Simba) umri umeshaenda hana Impact yoyote kwenye siasa anabakia kuongea tu, ndio maana jamii ya simba wanakufukuza ukikataa ndio wanakupiga kama Bob Junior
Marehem asemwi vibaya,Tumwater Bob J apumzike
 
Bora watuondolee usanii wa Chadema maana wanajiita chama kikuu cha upinzani wakati Wana Mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa Bungeni.

😂😂 Eti wana mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa, huyo mbunge alitokea wapi wakati hakukuwa na uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
 
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)

Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mlale unono!
Ni haki yake na tunamtakia mafanikio huko, lakini hiyo Umoja Party ipo???

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)

Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mlale unono!
DAKTA SLAA ni MSHEREHESHAJI tu, lakini wenye SHEREHE wapo.
 
Alisaliti wachaga siyo watanzania. Watanzania alituunga mkono kwa kuondoka kweñye chama cha kikabila na kuungana na muungwana mwenzake Magufuli
labda watanzania wa sukuma gang waliouwa watu kupitia mpumbavu na muuwaji magufuli nduli na joka lililosimamia utekaji na upiga risas watanzania.
 
Back
Top Bottom