Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Katiba Mpyaz namm naitaka, ila Ndani yake Kuna mambo lazima yabaki ivoivo bila kubadilishwa, suala la muungano, kama Katiba ya Slaa ,ni yakuvunja muungano, Hatopata Uungwaji wangu mkono Ng'ooo !!.

Hakusema wanaopinga CCM ni Mabeberu, Bali wanaopinga juhudi anazofanya katika kuleta Maendeleo.
Magufuli alikuwa mwana CCM kipindi cha Mkapa, Kikwete na hata kama asingekuwa Rais angekuwa mtetezi wa CCM ya Samia kindakindaki
 
Ni vyema ili aje stuambie kwanini alikuwa anapigwa na Mushumbusi na kwanini alilazwa nje baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais pale Mbowe alipokata kona hewani alipomchukua Lowassa.

Itatakiwa atuhakikishie wana umoja party, Role ya Josephine Mushumbusi ni ipi ndani ya chama kabla hatujamchagua awe mwenyekiti wetu. Je bado anautaka ufirst lady wa nchi au ufirst lady wa umoja party utamtosha?
Aahahaah
 
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)

Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mlale unono!

Atakua amepotea moja kwa moja
 
Lakini mwendakuzimu alikuwa haamini katika mfumo wa vyama vingi, na msimamo wake kuhusu wanaoipinga CCM ni vibaraka wa mabeberu
Mwendakuzimu hakukuwa na alichokuwa akikiamini, he was living by the day. Atakavyoamka siku hiyo mood yake ndiyo humuongoza aamini kitu gani, ile issue ya kwamba ana file Mirembe ilikuwa ikijidhihirisha katika matendo yake. Hata chawa wake walichokuwa wakijua ni kwamba wakimfurahisha kwa namna yoyote ile basi uhakika wa ulaji(ubwiaji asali) kwao unakuwepo, yaani sera ilikuwa ni kumfurahisha Jiwe.
 
1679648180390.png
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Yeye ajiunge tu na chama cha upinzani, kipya cha nini? Ni kugawa tu kura.
its the old technique that CCM has been using... Wagombanishe, wagawanye kisha uwatawale. Kumbuka UKAWA ilivyosambaratika dakika za majerushi kabla ya uchaguzi Mkuu.
 
Back
Top Bottom