Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Ni vyema ili aje stuambie kwanini alikuwa anapigwa na Mushumbusi na kwanini alilazwa nje baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais pale Mbowe alipokata kona hewani alipomchukua Lowassa.

Itatakiwa atuhakikishie wana umoja party, Role ya Josephine Mushumbusi ni ipi ndani ya chama kabla hatujamchagua awe mwenyekiti wetu. Je bado anautaka ufirst lady wa nchi au ufirst lady wa umoja party utamtosha?
Ufipa st mmeanza kuweweseka!
 
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)

Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mlale unono!
Huko ndiko kunakomfaa(kama hizo habari ni za kweli) maana hicho kitakuwa ni chama cha waliokuwa chawa wa Mwendakuzimu(chama cha Sukuma gang).
 
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)

Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mlale unono!
Alishajichanganya huyo alivotusaliti.2015. Hata CCM Hawana wasiwasi naye
 
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)

Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mlale unono!
Good move for "walinda legacy"!!
 
Back
Top Bottom