Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Siku umoja party inaanza rasmi ccm kadi zote nachoma
Walai kwa moyo wangu wote hata niwekewe gobole kwa sasa ccm naichukia sana

Nataman chama kianze niwe hata mwenezi bila kulipwa sent tano au katibu wilaya bila sent moja

Naichukia sana kwa sasa ccm
Nipo kwa sababu upinzani waliopo nao hakuna kitu ni maccm pia
Sasa utakipenda vipi chama ambacho hata uwepo wake tu haujulikani, mkuu 'sitagliptin'?

Si angalau usubiri kidogo ujue kinachosimamiwa na chama hicho. Wakija wote wanasema waTanzania tuwe watumwa wao, bado utakuwa unashangilia?
 
Ni vyema ili aje stuambie kwanini alikuwa anapigwa na Mushumbusi na kwanini alilazwa nje baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais pale Mbowe alipokata kona hewani alipomchukua Lowassa.

Itatakiwa atuhakikishie wana umoja party, Role ya Josephine Mushumbusi ni ipi ndani ya chama kabla hatujamchagua awe mwenyekiti wetu. Je bado anautaka ufirst lady wa nchi au ufirst lady wa umoja party utamtosha?
 
Back
Top Bottom