Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Silaa kigeugeu! hajui anachotaka wala kesho ataamkia wapi mwenyewe hajui.
alipewa kazi ya upadri ukamshinda, mke kashindwa akapora nawawatu naye amemshindwa, cdm akashindwa akaingia ccm nako ameshindwa!!
Watu wahivi huishia maisha ya kutangatanga bila ya heshma wala legacy yoyote.
Hajui kuwa na subira na kujenga kitu kikasimama anataka arukie chawatu kisha akiharibu na kukimbilia kwingine huku akijinasibu kuwa yeye ni mtu smart sana hawezi kuvumilia makosa...
Huyu poor slaa mkumbuke role model wake ni maremu aliyetutaabisha wengi kwa ubabe wa kidikteta naye alidumu kumpigia makofi na kumsaidia kazi. Good for nothing...
 
Kama ni kweli basi Nitajenga Ofisi ya Chama ya Kata na nitakua Mwanachama kindaki ndaki .

Muhimu wafuate sera za Magufuli
Slaa anataka katiba mpya wakati Magufuli alipinga vikali katiba mpya

Magufuli pia aliamini katika mfumo wa chama kimoja, ambacho ni CCM, na wanaopinga CCM ni marafiki wa mabeberu
 
Akifanya hivyo hata mimi binafsi nitamuunga mkono. Tunahitaji uelekeo mpya wa upinzani na sio janja janja zinazoendelea.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Slaa anataka katiba mpya wakati Magufuli alipinga vikali katiba mpya

Magufuli pia aliamini katika mfumo wa chama kimoja, ambacho ni CCM, na wanaopinga CCM ni marafiki wa mabeberu
 
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)

Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mlale unono!
Wewe na GENTAMYCINE hamna tofauti sana,wote ni attention seekers
 
Slaa anataka katiba mpya wakati Magufuli alipinga vikali katiba mpya

Magufuli pia aliamini katika mfumo wa chama kimoja, ambacho ni CCM, na wanaopinga CCM ni marafiki wa mabeberu
Katiba Mpyaz namm naitaka, ila Ndani yake Kuna mambo lazima yabaki ivoivo bila kubadilishwa, suala la muungano, kama Katiba ya Slaa ,ni yakuvunja muungano, Hatopata Uungwaji wangu mkono Ng'ooo !!.

Hakusema wanaopinga CCM ni Mabeberu, Bali wanaopinga juhudi anazofanya katika kuleta Maendeleo.
 
Chama chochote kinachopata usajili wa Kudumu miaka 2 kabla ya uchaguzi Mkuu - kanyaboya.
Kumbuka Msajili wa vyama ni mwana CCM na lazima afanye kazi yake huku akiweka maslahi ya chama chake mbele recall migogoro yote ya vyama vya siasa muhusika ni yupi?
 
Siku umoja party inaanza rasmi ccm kadi zote nachoma
Walai kwa moyo wangu wote hata niwekewe gobole kwa sasa ccm naichukia sana

Nataman chama kianze niwe hata mwenezi bila kulipwa sent tano au katibu wilaya bila sent moja

Naichukia sana kwa sasa ccm
Nipo kwa sababu upinzani waliopo nao hakuna kitu ni maccm pia
Nenda huko Umoja Party,huku CCM atukujui
 
Chama chochote kinachopata usajili wa Kudumu miaka 2 kabla ya uchaguzi Mkuu - kanyaboya.
Kumbuka Msajili wa vyama ni mwana CCM na lazima afanye kazi yake huku akiweka maslahi ya chama chake mbele recall migogoro yote ya vyama vya siasa muhusika ni yupi?
Point noted
 
Huko ndiko kunakomfaa(kama hizo habari ni za kweli) maana hicho kitakuwa ni chama cha waliokuwa chawa wa Mwendakuzimu(chama cha Sukuma gang).
Lakini mwendakuzimu alikuwa haamini katika mfumo wa vyama vingi, na msimamo wake kuhusu wanaoipinga CCM ni vibaraka wa mabeberu
 
Slaa kigeugeu! hajui anachotaka wala kesho ataamkia wapi mwenyewe hajui.
alipewa kazi ya upadri ukamshinda, mke kashindwa akapora nawawatu naye amemshindwa, cdm akashindwa akaingia ccm nako ameshindwa!!
Watu wahivi huishia maisha ya kutangatanga bila ya heshma wala legacy yoyote.
Hajui kuwa na subira na kujenga kitu kikasimama anataka arukie chawatu kisha akiharibu na kukimbilia kwingine huku akijinasibu kuwa yeye ni mtu smart sana hawezi kuvumilia makosa...
Huyu poor slaa mkumbuke role model wake ni maremu aliyetutaabisha wengi kwa ubabe wa kidikteta naye alidumu kumpigia makofi na kumsaidia kazi. Good for nothing...
Ana laana ya kukana kiapo chake Cha upadri
 
Back
Top Bottom