jukwaa huru usilazimishe watu waongelee tu unachokipenda cha msingi changanya na za kwakorelax bas,
ili hatimae wenye mawazo mapy nafikra mbadala bora zaidi ya hoja wajimwayemwaye jukwaani bila mbambamba
huko sio kukiuka misingi ya kuanzishwa kwake?No reform no Election.
Acha kufikiri kila mtu humu jukwaani ni kilaza. Huo mchuano uko wapi?mchuano lakini unauonaje baina yao ndani ya chadema?
Gentleman,Acha kufikiri kila mtu humu jukwaani ni kilaza. Huo mchuano uko wapi?