Dkt. Slaa kurejea CHADEMA na kugombea urais kupitia chama hicho, tujiandae na mchuano mwingine ndani ya CHADEMA wa kupata wa mgombea urais?

Dkt. Slaa kurejea CHADEMA na kugombea urais kupitia chama hicho, tujiandae na mchuano mwingine ndani ya CHADEMA wa kupata wa mgombea urais?

No reform no Election.
huko sio kukiuka misingi ya kuanzishwa kwake?

kwamba sasa hivi haitaki tena masuala ya demokrasia na uchaguzi, wala chadema haina malengo ya kushiriki chaguzi, kushinda uchaguzi na kushika dola bali kutafuta peasa za pocket money za viongozi right?:pedroP:
 
Acha kufikiri kila mtu humu jukwaani ni kilaza. Huo mchuano uko wapi?
Gentleman,
ikiwa wewe sio kilaza mihemko na masiriko yanatoka wapi kwa mfano?

ungelikua smart ungeibua mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja ya msingi mezani bila kubwelambwela 🐒
 
Bora CHADEMA kutakuwa na mnyukano kuliko kile chama kinachojiita kikongwe lakini hakitaki ushindani. Wanachama wanalazimishwa kutokupinga maamuzi ya mwenyekiti
be strong gentleman 🤣
 
Back
Top Bottom