Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jukwaa huru usilazimishe watu waongelee tu unachokipenda cha msingi changanya na za kwakorelax bas,
ili hatimae wenye mawazo mapy nafikra mbadala bora zaidi ya hoja wajimwayemwaye jukwaani bila mbambamba![]()
huko sio kukiuka misingi ya kuanzishwa kwake?No reform no Election.

Acha kufikiri kila mtu humu jukwaani ni kilaza. Huo mchuano uko wapi?mchuano lakini unauonaje baina yao ndani ya chadema?![]()
Gentleman,Acha kufikiri kila mtu humu jukwaani ni kilaza. Huo mchuano uko wapi?