Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

Unabisha kuwa Mbowe hakumuuzia chama Lowasa?
Unabisha kuwa katiba ya CHADEMA haikuvunjwa kwenye mchakato wakumkabidhi Lowasa chama?
Unabisha kuwa CHADEMA walikula matapishi yao kwa kumteua waliyemwita fisadi Lowasa kuwa mgombea?
Kumwita mtu fisadi ni Jambo moja na kuwa fisadi ni Jambo jingine. Kama lowassa angeuziwa chama na mbowe asingehama au ingekuwa imeshawekwa wazi kabisa Hadi process. Mbowe amefungiwa account, amevunjiwa bilcanas, gazeti lake limefungiwa, shamba lake kuharibiwa na kufunguliwa kesi ya ugaidi. Kama yote hayo amefanyiwa mtu mmoja wanashindwaje kutrace kwamba huyu alilipwa kiasi hiki Cha fedha na lowassa wakaweka hadharani. Sababu ya lowassa kuja CHADEMA ilishaelezwa ni baada ya Dr Slaa, Dr Kahangwa na Prof. LIPUMBA Kila mmoja kugoma kumuachia mwingine urais wakawa wanabishana. Baada ya mapendekezo Dr Slaa akapitishwa Sasa siku ya kumtangaza akaanza masharti ya kutaka tukio liwe kubwa hivyo wakahairisha Sasa happy ndipo Lowassa alipoingia.
 
😃😃😃😃😃😃
Baghosha.
 
Hahahahaha Nchi itasimama, ila bora isimame maana imekaa muda mrefu
 
toka ametoka kwenye siasa za upinzani amefanya nini?

Mamba anakua na nguvu akiwa kwenye maji mtoni ila akitoka akakaa nchi kavu anakua sawa na mjusi tu
 
Yaani niliposoma kichwa Cha habari,nikafikili atahojiwa na mtu mzito,mwandishi aliyebobea,kumbe huyu presenta, Gangana!!huyo kijana hana hata miaka 37!kasoma wapi,kafanya kazi wapi!ana uzoefu gani?
Hana ubobezi wowote,hamfikiii hata Mirad ayo kwa robo!!?
TBC nayo Imeoza kabisa..
 
Umeandika maelezo marefu yaliyojaa uongo mwingi. Kwenye mchakato ule wa kumleta Lowasa mambo yote yapo wazi.
Je katiba ya chama haikuvunjwa?
Ni kina nani waliotembea TZ nzima kutangaza km Lowasa ni fisadi na raia tukaamini?
 
toka ametoka kwenye siasa za upinzani amefanya nini?

Mamba anakua na nguvu akiwa kwenye maji mtoni ila akitoka akakaa nchi kavu anakua sawa na mjusi tu
Toka ametoka kwenye siasa za upinzani waliobaki wamefanya nini?
 
Asimamishe nchi yeye nani!

Achaneni na ZILIPENDWA
 
Unaumwa weww. Tangu slaa aondoke chadema inachanja mbuga na ndo maana ccm inaiogopa Kama ukoma hata mikutano i azuiwa
 
Ukitaka kujua ukweli; Waache wananchi wapige kura, waache wananchi ndio wachague.
Mengine ni porojo zenu na staili za kuogopa na kukwepa Katiba mpya/bora.
Wananchi walipiga kura na wakachagua kwa kishindo. Porojo za kuchapisha kura feki, kuinyesha kiupandeupande kwa waandishi wa habari, kusingizia wameziokota na kisha kukimbia nazo tupa kule!

Labda kwa faida yako na mateka wenzako wa propaganda za CHADEMA, wananchi wakiamua hakuna cha tume, serikali wala polisi kuwazuia. Mlishaelezwa toka mwanzo kuna tofauti ya “keypad worrior” na mpiga kura.
 
Porojo tu Dr wa Mihogo atasimamisha nchi? kuweni serious jamani
 
Let the people vote, let the people choose. Yawezekana tu pale palipo na tumehuru, palipo na katiba mpya/bora.
Mengine ni hadithi za karume kenge ili watoto wapate usingizi mwema.
 
Yaani TBC ...
Hats wakiandaa Mahojiano na Mungu yatakuwa hovyo TU!
Eti Slaa asimamishe nchi....
 
Mungu aiweke roho ya marehemu peponi na awape nguvu waliobaki wayaendeleze yote yale mema kwa nia njema ya nchi wayakamilishe tule matunda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…