Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

Mtaa wa kijani utasimama Mtaa wa kijani uta simimama siku hiyo, kwani lazima na vipaza sauti vya kutosha vifungwe Kila mtaa ili asikike,kwani redo/tv ya chama ilishasahauliwa na wanakijani achilia mbali wengine
 
Mleta mada kwa makusudi kabisa amemaua kutumua Masaburi katika kufukiri badala ya kichwa.
 
kumbe wanao muhoji ni TBC???? aibu tu
 
Atatukumbushia the list if shame....
Vizuri aweke bayana kilichotokea hadi kuenenda upande wa pili
Je atatoa shukran zake za dhati kwa Mh Mbowe jinsi alivyosaidiwa kupata nyumba.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wewe fala kweli,huyo gwiji wa unafiki wa CCM ataisimamisha CCM siyo nchi
 
Wewe fala kweli,huyo gwiji wa unafiki wa CCM ataisimamisha CCM siyo nchi
 
Huyu babu mzinzi nani ana muda wa kumsikiliza,usaliti KWA kuhongwa ubalozi, ni upumbavu

wenzake wanaenda kuchukua nchi 2025
 
anakuja kuongeza nguvu kesi ya mbowe
 
Saa ngapi? Unaweza kutaja muda tafadhali ili turekebishe ratiba zetu za siku?
 
UJINGA NI MZIGO KAMA ZIGO LA MAVI......shame on you POPOMA the great! halafu we mwanamke una gubu sana
 
ni tatizo kuwaza kwa kutumia makalio. hii nchi mnaicheza sana yaani dr slaaa asimamishe nchi? mbona mnaamini kuwa watanzani wote ni vilaza kwa kiasi kikubwa hivyo?
 
Hatuamin mtu kusimamia anachokiaminj! Dkt Slaa hakuwai kununuliwa ila alisimamia kile alichokiamini.
Tena kikao Cha manunuzi kilifanyika Rwanda na kiliongozwa na Nchemba Madelu.

Mabinti wadogo wadogo km we hamuwezi kujua wakati ule Ni nn kilitokea.
 
Umesoma ripoti ya REDET ya juzi?
 
Kama aliondoka kwa ajiri ya Lowasa kuingia Chadema,mbona Lowasa karudi CCM na anafanya kazi na serikali ya CCM? Ahame huko nako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…