Hadi Chato town hawamtaki thus kapiga biti mawakala wa chadema kuapishwa hajawahi shinda chochote bila kubebwaMzeebaba kakataliwa Kusini kakataliwa Kaskazi, mashariki imemgomea na Magharibi haimtaki...
Hii ndo ile wanasema " Kumkataa shetani na Kazi zake zote "
Unafikiri mashabiki wa hicho chama watajiuliza hili swali mkuu?Mbona Sheikh ponda anatumika ili kupata kula za waislamu hadi masheikh wanazozana? hii pia ina tafsiri kuwa hata Lissu hali sio nyepesi.
Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.
Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
Siku zingine utumie Akili kidogo kwani Kihistoria CCM hupata 'taabu' mno hapo Karatu hivyo Kumtumia Dk. Slaa Kuwavutia Watu ni 'Mtaji' tosha tu.Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.
Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
IMEKAA POA SAANA KWANI NAYE NI MWANASIASA MAKINI SAANAInamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.
Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
Mkuu ungetulia ama dakika 5 ungeelewa pumba ulizoziandikaInamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.
Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
Tulieni dawa iwaingie vizuri kunako.Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.
Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
Aliyeanza ni shekhe wa Dar na kundi lake lile kamati ya amaniMbona Sheikh ponda anatumika ili kupata kula za waislamu hadi masheikh wanazozana? hii pia ina tafsiri kuwa hata Lissu hali sio nyepesi.
...na mambo yake yote, na hila zake zote.Mzeebaba kakataliwa Kusini kakataliwa Kaskazi, mashariki imemgomea na Magharibi haimtaki...
Hii ndo ile wanasema " Kumkataa shetani na Kazi zake zote "
Mbona Sheikh ponda anatumika ili kupata kula za waislamu hadi masheikh wanazozana? hii pia ina tafsiri kuwa hata Lissu hali sio nyepesi.