Uchaguzi 2020 Dkt. Slaa kutumika kwenye kampeni 2020, imekaaje hii

Uchaguzi 2020 Dkt. Slaa kutumika kwenye kampeni 2020, imekaaje hii

Mzeebaba kakataliwa Kusini kakataliwa Kaskazi, mashariki imemgomea na Magharibi haimtaki...

Hii ndo ile wanasema " Kumkataa shetani na Kazi zake zote "
Hata kanda ya ziwa nyumbani kwao kakataliwa! Sasa sijui atashindia wapi?
 
Slaa mwenyewe alikuwa anamahojiano na Channel ten juzi alikuwa anajikanyaga tu kujibu hoja za lissu unaunga mkono ufisadi uliyofanywa na magufuli anatetea ujenzi wa uwanja wa chato Nilimshangaa sana huyu ndo alikuwa kinara wa kupinga ufisadi unaofanywa na ccm

Kama mnakumbuka hoja ya ufisadi kwenye uuzwaji wa nyumba za serikali uliofanywa na magufuli slaa alipigia kelele sana Sasa imenishangaza ubalozi umemlevya hivi

Ni bora angeendelea kukaa kimya kulinda heshima yake
 
Kwahiyo mkuu hutaki atumike??

Tuambie kabisa hapa tujue unataka nani atumike na nani asitumike.
 
Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.

Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
Maana ya balozi unaijua? Tuanzie hapo
 
Silaha pekee itegemewayo ma CCM kushinda Uchaguzi ni WIZI wa KURA pekee. Kwenye Uchaguzi huru na wa haki CCM hawezi fikisha Wabunge30 kati ya Wabunge 300.

Ndio maana CCM hawezi kubali:
1. Tume huru ya Uchaguzi,
2. KATIBA mpya

Adui mkubwa wa Mtanzania ni CCM
 
Mbona Sheikh ponda anatumika ili kupata kula za waislamu hadi masheikh wanazozana? hii pia ina tafsiri kuwa hata Lissu hali sio nyepesi.
Wale wanaozozana siyo masheikh, ni wavaa kanzu.
 
Wewe ndio utumie akili, Slaa ni CCM Karatu ni ngome ya upinzani.
Siku zingine utumie Akili kidogo kwani Kihistoria CCM hupata 'taabu' mno hapo Karatu hivyo Kumtumia Dk. Slaa Kuwavutia Watu ni 'Mtaji' tosha tu.
 
Wapinzani wao waliambiwa upinzani umekufa.
Hata ccm tunaambiwa imechokwa ila tunaona inatumika nguvu nyingi kupambana na kitu kilichochoka,mara vyama vishirikiane mara Sheikh ponda nae anawaburuza waislamu huko kuongeza nguvu.

Mimi nilivyosikia ccm inechokwa sikutegemea tena kuona kuwa itahitajika nguvu zaidi.
 
Hata ccm tunaambiwa imechokwa ila tunaona inatumika nguvu nyingi kupambana na kitu kilichochoka,mara vyama vishirikiane mara Sheikh ponda nae anawaburuza waislamu huko kuongeza nguvu.

Mimi nilivyosikia ccm inechokwa sikutegemea tena kuona kuwa itahitajika nguvu zaidi.
Wapinzani wana nguvu ya dola?
 
Back
Top Bottom