Wewe unaona hao Masheikh wa CCM wana mvuto wowote kwenye Jamii? Yule wa Dar Hana haiba ya usheikh hivyo kujiassociate naye kunapunguza kura badala ya kuongeza.
Sheikh Ponda hakwenda Kwa Lissu Ili kubalance Kura ambazo JPM atapata toka Kwa Waislam kutokana na ushawishi wa Masheikh wa CCM. Nshaeleza hawana ushawishi wowote Kwa Waislam wenye akili timamu. Sheikh Ponda kaenda kama raia Mwenye akili Timamu mana anafaham msimamo wa Lissu katika kupigania Haki, Jambo ambalo Sheikh Ponda amekuwa akalipigania ktk sehemu kubwa ya maisha yake.