Hata kanda ya ziwa nyumbani kwao kakataliwa! Sasa sijui atashindia wapi?Mzeebaba kakataliwa Kusini kakataliwa Kaskazi, mashariki imemgomea na Magharibi haimtaki...
Hii ndo ile wanasema " Kumkataa shetani na Kazi zake zote "
Kwani ponda alishakuwa mwanasiasa au mteuliwa wa rais?Mbona Sheikh ponda anatumika ili kupata kula za waislamu hadi masheikh wanazozana? hii pia ina tafsiri kuwa hata Lissu hali sio nyepesi.
Watanzania ni wakati wa kuamua ni wakati wa haki naukombozi.Mfa maji haachi kutapa tapa,anajua karatu hata halimashauri kuu ya Ccm haimpi kura ,hivyo anatapa tapa
AU KUMKOMA NYANI GILADIMzeebaba kakataliwa Kusini kakataliwa Kaskazi, mashariki imemgomea na Magharibi haimtaki...
Hii ndo ile wanasema " Kumkataa shetani na Kazi zake zote "
Sahihi kabisa MkuuAU KUMKOMA NYANI GILADI
Ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni
Maana ya balozi unaijua? Tuanzie hapoInamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee jiwe hali mbaya sana.
Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote nifadhila. Wananchi wananufaika nini na ubalozi wa MTU binafsi?
Wale wanaozozana siyo masheikh, ni wavaa kanzu.Mbona Sheikh ponda anatumika ili kupata kula za waislamu hadi masheikh wanazozana? hii pia ina tafsiri kuwa hata Lissu hali sio nyepesi.
Msaliti huyo amvutie nani? CCM hawana hojaSlaa sasa atamvutia nani 🤣🤣🤣🤣
Siku zingine utumie Akili kidogo kwani Kihistoria CCM hupata 'taabu' mno hapo Karatu hivyo Kumtumia Dk. Slaa Kuwavutia Watu ni 'Mtaji' tosha tu.
Dr Slaa ni sawa na Nassari au Lijuakali
Sio masheikh kwa sababu kwenye siasa hawashabikii upinzani?Wale wanaozozana siyo masheikh, ni wavaa kanzu.
Ponda ni mwanasiasa ndio maana anazunguka na Lissu huko kufanya kampeni.Kwani ponda alishakuwa mwanasiasa au mteuliwa wa rais?
Mmekosa hoja
Hata ccm tunaambiwa imechokwa ila tunaona inatumika nguvu nyingi kupambana na kitu kilichochoka,mara vyama vishirikiane mara Sheikh ponda nae anawaburuza waislamu huko kuongeza nguvu.Wapinzani wao waliambiwa upinzani umekufa.
Hadhi yake kwenye siasa,jiwe anataka vichaa kina heche, Mtikila au Lisu.Wewe acha kabisa kumfananisha Slaa na mambo ya kijinga
Wapinzani wana nguvu ya dola?Hata ccm tunaambiwa imechokwa ila tunaona inatumika nguvu nyingi kupambana na kitu kilichochoka,mara vyama vishirikiane mara Sheikh ponda nae anawaburuza waislamu huko kuongeza nguvu.
Mimi nilivyosikia ccm inechokwa sikutegemea tena kuona kuwa itahitajika nguvu zaidi.