Dkt.Slaa: Mabadiliko ya Mawaziri, Serikali haijui inataka nini, kubadili viongozi kama Gauni haisaidii kitu

Samia urais aliupata kama zali, hakujiandaa kua rais na hakutegemea hata siku moja atakuja kua rais kwa sababu anajijua mwenyewe na alisema mwenyewe kwamba alishajipima akajiona uwezo hana.

Mtamlaumu bure, hajui analolifanya.
Ni miaka ya Zali hii, Jingine linakuja huko USA- KAMALA HARIS.
Usishangae ndugu yangu, hizi ndio zama zake, muache atambe Maza wetu. TZ imeonyesha njia!
 
Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa

MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi wanaorejeshwa kwenye baraza hilo na katika nafasi nyingine, hawana manufaa yoyote kwa Taifa zaidi ya kujipanga na uchaguzi ujao.

Akizungumza na MwanaHALISI Online leo Jumatatu ametoa mfano namna aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyoikosesha Tanzania uwekezaji mkubwa wa kiteknolojia kutoka kwa Elon Musk ambaye ni tajiri namba mbili duniani.

“Watanzania tutengeneze mshikamano wetu ambao utalenga kujipanga kwenye uchaguzi unaokuja na kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya ili haya yanayotokea leo ya rais kubadilisha watu kama anabadilisha gauni lake, sioni kama yanatusaidia kwani gauni analivaa yeye mwenyewe,” amesema Dk. Slaa.

Chanzo: Mwanahalisi Digital

Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
kwani yeye aliefukuzwa upadre na alikua anabadilisha vyama vya siasa na wanawake alikua anawabadili kama gauni au soksi?🐒

kwanza yeye yupo chama gani saivi kama sio tamaa tu zimemjaa hajui hata ajiunge chama gani kote anataka awepo 🐒
 
Kwi Kwi Kwi, Slaa kapiga penye mshono!
 
Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa

MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi wanaorejeshwa kwenye baraza hilo na katika nafasi nyingine, hawana manufaa yoyote kwa Taifa zaidi ya kujipanga na uchaguzi ujao.

Akizungumza na MwanaHALISI Online leo Jumatatu ametoa mfano namna aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyoikosesha Tanzania uwekezaji mkubwa wa kiteknolojia kutoka kwa Elon Musk ambaye ni tajiri namba mbili duniani.

“Watanzania tutengeneze mshikamano wetu ambao utalenga kujipanga kwenye uchaguzi unaokuja na kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya ili haya yanayotokea leo ya rais kubadilisha watu kama anabadilisha gauni lake, sioni kama yanatusaidia kwani gauni analivaa yeye mwenyewe,” amesema Dk. Slaa.

Chanzo: Mwanahalisi Digital

Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Yaani Slaa anataka hata watu wakivurunda waachwe waendelee kupuyanga ??!!😳

Kweli WaTZ hawajui nini hasa wanakihitaji !
Zaidi wamekuwa ni Pinga pinga fc
Kila kitu wanapinga tu! Hata jambo likiwa jema 🙄🙌🤦🏽‍♂️
 
Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa

Akizungumza na MwanaHALISI Online leo Jumatatu ametoa mfano namna aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyoikosesha Tanzania uwekezaji mkubwa wa kiteknolojia kutoka kwa Elon Musk ambaye ni tajiri namba mbili duniani.
Tutumie akili. Nape hana akili, uwezo au mamlaka ya kuukataa uwekezaji wa Elon Musk. Uamuzi huo ulikuwa maagizo toka juu - labda ili nafasi hiyo iende kwa wapendwa
 
Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa

MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi wanaorejeshwa kwenye baraza hilo na katika nafasi nyingine, hawana manufaa yoyote kwa Taifa zaidi ya kujipanga na uchaguzi ujao.

Akizungumza na MwanaHALISI Online leo Jumatatu ametoa mfano namna aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyoikosesha Tanzania uwekezaji mkubwa wa kiteknolojia kutoka kwa Elon Musk ambaye ni tajiri namba mbili duniani.

“Watanzania tutengeneze mshikamano wetu ambao utalenga kujipanga kwenye uchaguzi unaokuja na kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya ili haya yanayotokea leo ya rais kubadilisha watu kama anabadilisha gauni lake, sioni kama yanatusaidia kwani gauni analivaa yeye mwenyewe,” amesema Dk. Slaa.

Chanzo: Mwanahalisi Digital

Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Na sisi tuseme, yeye Dr. Slaa kutoka upadre hadi uanasiasa hadi kuoa na kuacha na kuchukua mchepuko anabadili wanawake, hajui anataka nini. 🤔🤔
 
Huyu bora alee wajukuu kama anao ameshapoteza ushawishi
 
Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa

MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi wanaorejeshwa kwenye baraza hilo na katika nafasi nyingine, hawana manufaa yoyote kwa Taifa zaidi ya kujipanga na uchaguzi ujao.

Akizungumza na MwanaHALISI Online leo Jumatatu ametoa mfano namna aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyoikosesha Tanzania uwekezaji mkubwa wa kiteknolojia kutoka kwa Elon Musk ambaye ni tajiri namba mbili duniani.

“Watanzania tutengeneze mshikamano wetu ambao utalenga kujipanga kwenye uchaguzi unaokuja na kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya ili haya yanayotokea leo ya rais kubadilisha watu kama anabadilisha gauni lake, sioni kama yanatusaidia kwani gauni analivaa yeye mwenyewe,” amesema Dk. Slaa.

Chanzo: Mwanahalisi Digital

Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Mridisheni Babu mumpe u-KM
 
Back
Top Bottom