Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Ni miaka ya Zali hii, Jingine linakuja huko USA- KAMALA HARIS.Samia urais aliupata kama zali, hakujiandaa kua rais na hakutegemea hata siku moja atakuja kua rais kwa sababu anajijua mwenyewe na alisema mwenyewe kwamba alishajipima akajiona uwezo hana.
Mtamlaumu bure, hajui analolifanya.
kwani yeye aliefukuzwa upadre na alikua anabadilisha vyama vya siasa na wanawake alikua anawabadili kama gauni au soksi?🐒Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa
MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi wanaorejeshwa kwenye baraza hilo na katika nafasi nyingine, hawana manufaa yoyote kwa Taifa zaidi ya kujipanga na uchaguzi ujao.
Akizungumza na MwanaHALISI Online leo Jumatatu ametoa mfano namna aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyoikosesha Tanzania uwekezaji mkubwa wa kiteknolojia kutoka kwa Elon Musk ambaye ni tajiri namba mbili duniani.
“Watanzania tutengeneze mshikamano wetu ambao utalenga kujipanga kwenye uchaguzi unaokuja na kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya ili haya yanayotokea leo ya rais kubadilisha watu kama anabadilisha gauni lake, sioni kama yanatusaidia kwani gauni analivaa yeye mwenyewe,” amesema Dk. Slaa.
Chanzo: Mwanahalisi Digital
Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kwi Kwi Kwi, Slaa kapiga penye mshono!kwani yeye aliefukuzwa upadre na alikua anabadilisha vyama vya siasa na wanawake alikua anawabadili kama gauni au soksi?🐒
kwanza yeye yupo chama gani saivi kama sio tamaa tu zimemjaa hajui hata ajiunge chama gani kote anataka awepo 🐒
Yaani Slaa anataka hata watu wakivurunda waachwe waendelee kupuyanga ??!!😳Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa
MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi wanaorejeshwa kwenye baraza hilo na katika nafasi nyingine, hawana manufaa yoyote kwa Taifa zaidi ya kujipanga na uchaguzi ujao.
Akizungumza na MwanaHALISI Online leo Jumatatu ametoa mfano namna aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyoikosesha Tanzania uwekezaji mkubwa wa kiteknolojia kutoka kwa Elon Musk ambaye ni tajiri namba mbili duniani.
“Watanzania tutengeneze mshikamano wetu ambao utalenga kujipanga kwenye uchaguzi unaokuja na kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya ili haya yanayotokea leo ya rais kubadilisha watu kama anabadilisha gauni lake, sioni kama yanatusaidia kwani gauni analivaa yeye mwenyewe,” amesema Dk. Slaa.
Chanzo: Mwanahalisi Digital
Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Tutumie akili. Nape hana akili, uwezo au mamlaka ya kuukataa uwekezaji wa Elon Musk. Uamuzi huo ulikuwa maagizo toka juu - labda ili nafasi hiyo iende kwa wapendwaHaya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa
Akizungumza na MwanaHALISI Online leo Jumatatu ametoa mfano namna aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyoikosesha Tanzania uwekezaji mkubwa wa kiteknolojia kutoka kwa Elon Musk ambaye ni tajiri namba mbili duniani.
Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa
MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi wanaorejeshwa kwenye baraza hilo na katika nafasi nyingine, hawana manufaa yoyote kwa Taifa zaidi ya kujipanga na uchaguzi ujao.
Akizungumza na MwanaHALISI Online leo Jumatatu ametoa mfano namna aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alivyoikosesha Tanzania uwekezaji mkubwa wa kiteknolojia kutoka kwa Elon Musk ambaye ni tajiri namba mbili duniani.
“Watanzania tutengeneze mshikamano wetu ambao utalenga kujipanga kwenye uchaguzi unaokuja na kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya ili haya yanayotokea leo ya rais kubadilisha watu kama anabadilisha gauni lake, sioni kama yanatusaidia kwani gauni analivaa yeye mwenyewe,” amesema Dk. Slaa.
Chanzo: Mwanahalisi Digital
Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Eeh naona mdo wanasiasa tulio naoAlipokuwa balozi aliufyata , siku Samia akimchagua na kumpa kafupa kadogo tu ataendelea kuufyata
Hiyo ni mada mpya, haihusiani na uziNa sisi tuseme, yeye Dr. Slaa kutoka upadre hadi uanasiasa hadi kuoa na kuacha na kuchukua mchepuko anabadili wanawake, hajui anataka nini. 🤔🤔
Mridisheni Babu mumpe u-KMHaya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa