Dkt.Slaa: Mabadiliko ya Mawaziri, Serikali haijui inataka nini, kubadili viongozi kama Gauni haisaidii kitu

.......kubadilisha watu kama anabadilisha gauni lake.......
Mwisho wa kunukuu
 
Mzee Slaa na wengine humu wanaokosoa wasome hadi kupatikana Putin, Boris Yeltsin aliteua na kutengua mawaziri wakuu wangapi na kwa muda gani hadi akampata Putin. Tuiache mamlaka ya Rais ifanye kazi yake. Inajua kuliko sisi.🙏🙏🙏
 
Kwenye organization yoyote ukiona kila siku manager au CEO unafanya reshuffle kila kukicha ujue na bado mambo hayaendi ujue shida ni wewe Manager au CEO na only solution ni wewe kuresign.

Haiwezekani tukawa tunachukulia ni hali ya kawaida kuteua na kutengua halafu bado kila mahala ni shida tu, inawezekana shida ikawa Kwa mteuaji/mtenguaji au mfumo mzima umeoza na hauna watu, njia pekee ni kuubadirisha mfumo ili kila Mtanzania aweze kuingia kwenye system kuliko hii ya sasa kutegemea uteuzi ndani inner circle.
 
kwani yeye aliefukuzwa upadre na alikua anabadilisha vyama vya siasa na wanawake alikua anawabadili kama gauni au soksi?🐒

kwanza yeye yupo chama gani saivi kama sio tamaa tu zimemjaa hajui hata ajiunge chama gani kote anataka awepo 🐒
Mmmmmmh
 
Kama nyumba yako inavuja hata ukipanguwa vipi furniture, bado iatavuja tu.
Ukitaka isivuje badilisha paa.

Paa ni serikali au nibaraza lote la mawaziri au chama au mfumo mzima.
 
Waafrika hasa watanzania hawawezi kujiongoza wenyewe.
Inabidi mkoloni mjerumani arudi kuongoza hii nchi kwa viboko na mijeledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…