Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

Baada ya RC Chalamila kumtisha Dkt. Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dkt. Slaa nae arudisha mawe...

Dkt. Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari


View attachment 2670137

Chalamila, haya mfate Slaa na ma defender ya RPC, kasema yuko nyumbani kwake ka chill hakuogopi, wewe mi mjinga fulani... au kula matapishi ya biti zako ulizochimba...
===
Dr Slaa amesema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hajui sheria wala haki zake, na amesema hatishiki kwa maneno aliyoyasema kwa kuwa anajua haki na sheria za nchi
Mkoa wa Dar es Salaam hauhitaji RC serious. Ndio maana Samia aliona Chalamila anafaa kuwa RC wa Dar
 
Huyu mzee Slaa nayeye atulie tu alishabugi tangu aasi chama. Hili sakata la bandari haliwezi kumsafisha kama anavyodhani
 
Mzee Slaa bwana!!
ila haipendezi kwa mzee kutoa matamshi ya dharau na matusi.
uzee ni heshima na busara sio kutoa lugha chafu.
Ikibidi lugha kali itolewe ili kukemea upumbavu,ccm inakotupeleka ni kubaya sana.
 
Mzee Slaa bwana!!
ila haipendezi kwa mzee kutoa matamshi ya dharau na matusi.
uzee ni heshima na busara sio kutoa lugha chafu.
Matusi yapo wapi hapo? Nchi ikiwa na watu kama nyie ndomana CCM inaendelea kutawala.. kuna tusi hapo? Unafki usio na maana
 
Wakimleta RC serious watashindwa kupitisha magendo yao ya pembe za ndovu na wanyapori kupitia bandari ya DPW.
Aiseee...

hivi kumbe inawezekana mahesabu ya Samia kutoa bandari ni kupitisha wanyama pori na pembe kirahisi?

....ndio maana Kilimanjaro Airport wamepewa Waarabu fulani waiendeshe ???

Hivi Waziri wa Maliasili ni nani ?
 
Aiseee...

hivi kumbe inawezekana mahesabu ya Samia kutoa bandari ni kupitisha wanyama pori na pembe kirahisi?

....ndio maana Kilimanjaro Airport wamepewa Waarabu fulani waiendeshe ???

Hivi Waziri wa Maliasili ni nani ?
Nchi hii ni ya kiqumer sana mkuu. Tunatawaliwa na viongozi wapumbavu kuliko maelezo.
 
Mkoa wa Dar es Salaam hauhitaji RC serious. Ndio maana Samia aliona Chalamila anafaa kuwa RC wa Dar

Kwa hiyo hawa CCM wanatudharau kiasi hicho? Yani wanatuona hatuko serious?
 
Huyu mzee sasa anachanganyikiwa au anatafuta kiki kwa nguvu.

Hivi yule demu wake aliyemgonga Mwanza mpaka akamvunja mkono bado anae? mashumbusi sijuwi, sikumbuki vizuri jina lake.
Hapa kuingiza suala la demu hiyo ni character assignation. Acha mjadala wa bandari uendelee.
 
Mzee Slaa bwana!!
ila haipendezi kwa mzee kutoa matamshi ya dharau na matusi.
uzee ni heshima na busara sio kutoa lugha chafu.
Huyu Chalamila ndiye hasa mwenye dharau na matamshi ya hovyo...

Dr Slaa hajamtusi mtu. Kutumia neno "fulani au huyu ni mjinga" si kukosa busara na wala si kumtusi mtu bali ni ku - describe tabia au status ya mtu...

It's obvious that, RC Chalamila ni mjinga. Ujinga sio tusi ndugu yangu zandrano bali ni hali ya kutojua au kuelewa kitu au jambo fulani...

Chalamila ni kweli alimshambulia Dr Slaa kwa kashfa na vitisho bila sababu za msingi isipokuwa tu eti kwa kuwa anatumia haki yake ya msingi kama mwananchi kukosoa au kutoa kasoro za mkataba usio na usawa kati ya DP World na Tanzania ambao unampa haki zote Dubai Ports World (DPW) ya kuzimiliki na kuziendesha...

Kwa sababu hii, ni wazi kuwa RC huyu ni mjinga, hazijui sheria za nchi zinazolinda haki na uhuru wa kila wananchi kutoa maoni yake...

Kama anataka asiwe mjinga, basi aanze darasa haraka la kujifunza uongozi, sheria na haki za raia. Vinginevyo ataendelea kuwa mjinga hivyohivyo na tutaendelea kumwita mjinga...
 
Omba Mungu Mzee Makamba asifungue kinywa chake... utachoka
 
Huyu mzee anazeeka vibaya kwa kuanza kutukana viongozi wa kiserikali.
Namuomba RC Albert ampuuze huyu mkimbia upadre kwa maslahi binafsi.
hakuna cha ampuuze, hawezi kumfanya chochote Dr Slaa. Chalamila ndio kachimba biti utasemaje sasa ampuuze? Chalamila, follow through with your taugh-talking threats tukuone ....

While RC Chalamila has not uttered a word since, Dokta Slaa has become one of the most vociferous voices against the corrupt give-away port contract.
 
Yule ndiye alienda nae Israel mwaka alioweka post namba 1.

Akitukanwa kayataka mwenyewe. huyo anafikiri akipiga kelele atanyamazishwa kwa pesa. Hiyo zamani ilikuwa wakati wa mwendazake siyo sasa.
Babu kwani hajapewa mafao?
 
Unamwita mkuu wa mkoa niriemteua mimi mjinga hiiiiiiiii siyo kwa utawara wangu najua TISS mnaerewa ra kufanya:

Shujaa mwendazake
 
Back
Top Bottom