Mzee Slaa bwana!!
ila haipendezi kwa mzee kutoa matamshi ya dharau na matusi.
uzee ni heshima na busara sio kutoa lugha chafu.
Huyu Chalamila ndiye hasa mwenye dharau na matamshi ya hovyo...
Dr Slaa hajamtusi mtu. Kutumia neno "fulani au huyu ni mjinga" si kukosa busara na wala si kumtusi mtu bali ni ku - describe tabia au status ya mtu...
It's obvious that, RC Chalamila ni mjinga. Ujinga sio tusi ndugu yangu
zandrano bali ni hali ya kutojua au kuelewa kitu au jambo fulani...
Chalamila ni kweli alimshambulia Dr Slaa kwa kashfa na vitisho bila sababu za msingi isipokuwa tu eti kwa kuwa anatumia haki yake ya msingi kama mwananchi kukosoa au kutoa kasoro za mkataba usio na usawa kati ya DP World na Tanzania ambao unampa haki zote Dubai Ports World (DPW) ya kuzimiliki na kuziendesha...
Kwa sababu hii, ni wazi kuwa RC huyu ni mjinga, hazijui sheria za nchi zinazolinda haki na uhuru wa kila wananchi kutoa maoni yake...
Kama anataka asiwe mjinga, basi aanze darasa haraka la kujifunza uongozi, sheria na haki za raia. Vinginevyo ataendelea kuwa mjinga hivyohivyo na tutaendelea kumwita mjinga...