Dkt Slaa ni Muongo aliyekubuhu na Mchonganishi. Watanzania Mpuuzeni

Kwa ufupi kumkamata lisu ni jambo baya sana kama taifa. Lisu hana influence ya kushinda kiti cha urais. Yaani sijui akili ya nani ilishauri kumkamata.
Hawezi akaachwa aendelee kutoa lugha na maneno ya uchochezi na yenye kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilila kama kinyonga.

Wimbi jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii leo. Huyu Mzee bila ushahidi amewahi kuudanganya Umma hadharani kuwa kuna Kontena linaingiza maboksi ya kura Feki Nchini . Mwisho wa siku baada ya uchunguzi ilikuja kubainika ni uongo na Mzee alikuwa ameudanganya Umma.

Huyu Mzee Kwa Mdomo wake Si mnakumbuka yale aliyazungumza wakati Mbowe amekamatwa kwa kesi ya Ugaidi? Je mnakumbuka yale aliandika kuihusu CHADEMA kwa kila alichoita Nyuma ya Pazia? Je amewahi kukanusha au kuomba msamaha? Je mnakumbuka kile alizungumza kuhusu kupigwa Risasi kwa Lissu?

Mnaanzia wapi kumuamini na kumsikiliza huyu mzee enyi watu? Ninyi mnafikiri ni kwanini watanzania wengi kwa sasa wamempuuza na kupelekea kukosa kabisa ushawishi na nguvu kwa watanzania? Jibu ni kuwa watanzania wamegundua kuwa huyu mzee ni muongo, kigeugeu, Mchonganishi na kinyonga asiye na msimamo zaidi ya kutapatapa tu na kupigania maslahi yake binafsi. Ndio sababu alipopewa Ubalozi alitulia tulii kama Maji mtungini.

Dkt Slaa ni lazima atambue ya kuwa heshima huwa hairudi mara mbili. Aliheshimika na kusikilizwa awali kwa sababu watu walikuwa gizani juu yake. Lakini sasa watu wanajua rangi yake halisi kuwa ni mtu msaliti,muongo, kigeugeu na kinyonga. Hivyo hakuna anayeweza kusikiliza uzushi wake na kumuunga mkono.hakuna wa kumsikiliza wala kupoteza muda wake kutega sikio kusikiliza uongo wake. Kwa sasa yeye atulie tu na kuendelea kujutia makosa yake na kuomba msamaha kwa Mungu wake. Uongo na uzushi hauwezi kumrejeshea heshima aliyoipoteza Mwenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Je CCM haitumii mifumo kandamizi mmojawapo ukiwa ni unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite
 
uko sahihi comrade,
hicho kizee ni kiuongo, kizushi na kipotoshaji balaa,

ni muhimu sana wadau kuipuuza tu, kwasabb kinapitia mateso makali mno ya kisaikojia kutokana na athari za tamaa, uporaji wake za watu na usalama zinazomuandama hivi sasa,
 
1745045927229.png
 
Ww ndio mkweli? Nikukumbushe tu alikua balaozi w Tanzania majuu ni MTU muhimu sn kwa fisiem. Na anacho sema ni ukweli mtupu mm n familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote tumesema alicho sema ni kweli KABISA.
KAZI ni kipimo cha utu
Umewahi kusikia kile Dkt slaa alichosema kuhusu kinachoitwa nyuma ya pazia? Ulisikia yale Dkt slaa alizungumza kuhusu kupigwa Risasi kwa Lissu?
 
Je CCM haitumii mifumo kandamizi mmojawapo ukiwa ni unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
CCM inaongoza kwa haki kwa kuzingatia misingi ya sheria na Utawala bora
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilila kama kinyonga.

Wimbi jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii leo. Huyu Mzee bila ushahidi amewahi kuudanganya Umma hadharani kuwa kuna Kontena linaingiza maboksi ya kura Feki Nchini . Mwisho wa siku baada ya uchunguzi ilikuja kubainika ni uongo na Mzee alikuwa ameudanganya Umma.

Huyu Mzee Kwa Mdomo wake Si mnakumbuka yale aliyazungumza wakati Mbowe amekamatwa kwa kesi ya Ugaidi? Je mnakumbuka yale aliandika kuihusu CHADEMA kwa kila alichoita Nyuma ya Pazia? Je amewahi kukanusha au kuomba msamaha? Je mnakumbuka kile alizungumza kuhusu kupigwa Risasi kwa Lissu?

Mnaanzia wapi kumuamini na kumsikiliza huyu mzee enyi watu? Ninyi mnafikiri ni kwanini watanzania wengi kwa sasa wamempuuza na kupelekea kukosa kabisa ushawishi na nguvu kwa watanzania? Jibu ni kuwa watanzania wamegundua kuwa huyu mzee ni muongo, kigeugeu, Mchonganishi na kinyonga asiye na msimamo zaidi ya kutapatapa tu na kupigania maslahi yake binafsi. Ndio sababu alipopewa Ubalozi alitulia tulii kama Maji mtungini.

Dkt Slaa ni lazima atambue ya kuwa heshima huwa hairudi mara mbili. Aliheshimika na kusikilizwa awali kwa sababu watu walikuwa gizani juu yake. Lakini sasa watu wanajua rangi yake halisi kuwa ni mtu msaliti,muongo, kigeugeu na kinyonga. Hivyo hakuna anayeweza kusikiliza uzushi wake na kumuunga mkono.hakuna wa kumsikiliza wala kupoteza muda wake kutega sikio kusikiliza uongo wake. Kwa sasa yeye atulie tu na kuendelea kujutia makosa yake na kuomba msamaha kwa Mungu wake. Uongo na uzushi hauwezi kumrejeshea heshima aliyoipoteza Mwenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Go1FtB0X0AEBkXx.jpeg
 
Hawezi akaachwa aendelee kutoa lugha na maneno ya uchochezi na yenye kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini
Sawa ila hana influence, tulitakiwa tutumie mbinu zetu pia kueneza propaganda za counter attack kisiasa na siyo kumkamata. Hivi kitengo chetu cha propaganda kimeishia wapi???
 
CCM inaongoza kwa haki kwa kuzingatia misingi ya sheria na Utawala bora
Kwanini wakati wa uchaguzi watu wanapigwa risasi na kuumizwa vile vile kwanini mmevisainisha kanuni za maadili vyama vya siasa wakati wagombea hawajateuliwa, (hakuna)
 
Sawa ila hana influence, tulitakiwa tutumie mbinu zetu pia kueneza propaganda za counter attack kisiasa na siyo kumkamata. Hivi kitengo chetu cha propaganda kimeishia wapi???
Ukifanya jinai ni lazima uwajibike na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria za Nchi yetu. Hatuwezi kuacha kama Taifa watu waendelea kuchezea amani yetu kwa maneno yao ya uchochezi na tamaa yao ya madaraka. Kumbuka lissu hana uchungu na Taifa letu hata likiingia katika machafuko kwa sababu familia yake ipo ughaibuni na watoto wake wana Uraia wa huko
 
Ukifanya jinsi ni lazima uwajibike na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria za Nchi yetu. Hatuwezi kuacha kama Taifa watu waendelea kuchezea amani yetu kwa maneno yao ya uchochezi na tamaa yao ya madaraka. Kumbuka lissu hana uchungu na Taifa letu hata likiingia katika machafuko kwa sababu familia yake ipo ughaibuni na watoto wake wana Uraia wa huko
Mgogoro wa kisiasa unatatuliwa kisiasa na siyo kwa mtutu wa bunduki na kutumia mahakama, tunachokifanya tunaandaa machafuko yasiyokuwa ya lazima. Kumbuka bado kuna jeraha la kusemekana Dkt Magufuli aliuawa na watu wana hasira na kuongezea hili la lisu siyo jambo zuri kisiasa.
 
Kwa ufupi kumkamata lisu ni jambo baya sana kama taifa. Lisu hana influence ya kushinda kiti cha urais. Yaani sijui akili ya nani ilishauri kumkamata.
Wenye urais wao ndiyo wanajua kama Lissu anao au ushawishi wa kushinda uchaguzi.

Jinsi wanavyopaniki inaonekana wanajua zaidi kuliko wewe!
 
Mgogoro wa kisiasa unatatuliwa kisiasa na siyo kwa mtutu wa bunduki na kutumia mahakama, tunachokifanya tunaandaa machafuko yasiyokuwa ya lazima. Kumbuka bado kuna jeraha la kusemekana Dkt Magufuli aliuawa na watu wana hasira na kuongezea hili la lisu siyo jambo zuri kisiasa.
Watanzania walikuwa muda wote wanasema lissu akamatwe na kutupwa ndani. Kwani wewe huoni namna Nchi ilivyotulia? Kwani wewe hukuona hata wakati wa kukamatwa kwake wananchi hawakuwa na habari naye wala kujihangaisha naye?
 
Hapana kabisa bosi, maoni ya wengi yanaonesha serikali imekosea kumkamata lisu. Kwa ufupi ni kitu kibaya
 
Lucas unatoa taarifa za Mzee ni muongo kwa hiyo uaminiwe wewe sasa au maana wewe ndio hauaminiki kabisaa labda huko Mbalizi..
Mbalizi nimekaa enzi zile za muziki wa santuri nilikuwa fundi wa vifaa vya electronics pale mbalizi 1984-1986, mapepele kulikuwa na vilabu vya pombe, (mataputapu)
 
Back
Top Bottom