Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #121
Kundi la utafitiKauli za kununua ebola na empox unaziweka kwenye kundi gani?
Kundi la utafitiKauli za kununua ebola na empox unaziweka kwenye kundi gani?
Nime dislike sababu hauna uungwana. Maisha yetu yamejaa mafumbo mengi ambayo Mungu ndiye anayefahamu. Mimi kama mwana CCM simchukii Lisu kabisa pamoja na uovyo wake.Lisuu hawezi siasa, siasa siyo uzushi, upotoshaji, uchochezi, kupandikiza chuki, Lissu ni mtu hatari ndio maana Magu alitaka kumalizana naye na huyu mama atajutia kujifanya mstaarabu na mwuungwana kumrudisha huyo kibaraka nchini. Lissu hana shukrani, hana adabu atamtukana kisa siasa ili mradi wako wanaomshangilia, hana fadhila ni km nguruwe tu. Dola imalizane naye tu na huyo ngedere waache udhaifu wajifunze kwa Museveni na Kagame wasicheke na huyo kima mtavuna mabua. Lissu anatumiwa na waliokuwa wakoloni wetu mtashtukia kumekucha.
Huwa siwaelewi nyie washamba.Ndio nimeandika kitu ambacho huwezi kuelewa kwa akili yako hiyo.
Huwezi ukaelewa kama huna akili ya kuelewaHuwa siwaelewi nyie washamba.
Kundi la utafiti
Embu acha ujinga 😀😀Kwa akili hizi no wonder mliambiwa bahari itakuja mbeya na mkaamini
Embu acha ujinga 😀😀
Nani kakwambia kuwa kabwe kuna Bahari au Ziwa la Maji😄😄Eeeh kuna mneki kawaambia pale kabwe patajengwa bandari
Nani kakwambia kuwa kabwe kuna Bahari au Ziwa la Maji😄😄
.. mi naona imekuwa ni NO REFORMS, ELECTION itafanyika kama ilivyopangwa, CDM hawatashirikiHASIRA YA NANI NDUGU.NO REFORM NO ELECTION