Dkt Slaa ni Muongo aliyekubuhu na Mchonganishi. Watanzania Mpuuzeni

Um
Ndugu zangu Watanzania,

Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika kama kinyonga.

Embu jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii leo. Huyu Mzee bila ushahidi amewahi kuudanganya Umma hadharani kuwa kuna Kontena linaingiza maboksi ya kura Feki Nchini . Mwisho wa siku baada ya uchunguzi ilikuja kubainika ni uongo na Mzee alikuwa ameudanganya Umma.

Huyu Mzee Kwa Mdomo wake Si mnakumbuka yale aliyoyazungumza wakati Mbowe amekamatwa kwa kesi ya Ugaidi? Je mnakumbuka yale aliandika kuihusu CHADEMA kwa kile alichoita Nyuma ya Pazia? Je amewahi kukanusha au kuomba msamaha? Je mnakumbuka kile alizungumza kuhusu kupigwa Risasi kwa Lissu?

Mnaanzia wapi kumuamini na kumsikiliza huyu mzee enyi watu? Ninyi mnafikiri ni kwanini watanzania wengi kwa sasa wamempuuza na kupelekea kukosa kabisa ushawishi na nguvu kwa watanzania? Jibu ni kuwa watanzania wamegundua kuwa huyu mzee ni muongo, kigeugeu, Mchonganishi na kinyonga asiye na msimamo zaidi ya kutapatapa tu na kupigania maslahi yake binafsi. Ndio sababu alipopewa Ubalozi alitulia tulii kama Maji mtungini.

Dkt Slaa ni lazima atambue ya kuwa heshima huwa hairudi mara mbili. Aliheshimika na kusikilizwa awali kwa sababu watu walikuwa gizani juu yake. Lakini sasa watu wanajua rangi yake halisi kuwa ni mtu msaliti,muongo, kigeugeu na kinyonga. Hivyo hakuna anayeweza kusikiliza uzushi wake na kumuunga mkono.hakuna wa kumsikiliza wala kupoteza muda wake kutega sikio kusikiliza uongo wake. Kwa sasa yeye atulie tu na kuendelea kujutia makosa yake na kuomba msamaha kwa Mungu wake. Uongo na uzushi hauwezi kumrejeshea heshima aliyoipoteza Mwenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umeanza vizuri na kueleweka ila mwishoooonii kumbe ni WA mama🙌
 
Watanzani wa leo sio wale wa mwalimu Nyerere na kawawa

And ukae ukijua sio kila mtu ambe yuko ccm au Serikalini anaridhika na mambo yanavyokwenda

Na mkumbuke na wao ni binadamu

So tukikutana nao kwenye bia uwa wanasema kila kitu, hakuna siri yeyote

Wewe shida yako unadhania kila mtanzania anaakili za kukaa nje ya nyumba yake anasubiri mbio za mwenge
Hakuna mtanzania Mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono kauli za kichochezi na ubaguzi zinazotolewa na mtu asiye na uzalendo kwa Taifa letu
 
Ni kweli, maana kama haya matapishi unayoandika hapa ndio elimu, basi acha nibaki na akili yangu ambayo kwako ni ujinga.
Najua hoja ipo juu ya uwezo wako na tayari ulishapofuka macho na akili. Ndio sababu huoni wala kufikiri
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika kama kinyonga.

Embu jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii leo. Huyu Mzee bila ushahidi amewahi kuudanganya Umma hadharani kuwa kuna Kontena linaingiza maboksi ya kura Feki Nchini . Mwisho wa siku baada ya uchunguzi ilikuja kubainika ni uongo na Mzee alikuwa ameudanganya Umma.

Huyu Mzee Kwa Mdomo wake Si mnakumbuka yale aliyoyazungumza wakati Mbowe amekamatwa kwa kesi ya Ugaidi? Je mnakumbuka yale aliandika kuihusu CHADEMA kwa kile alichoita Nyuma ya Pazia? Je amewahi kukanusha au kuomba msamaha? Je mnakumbuka kile alizungumza kuhusu kupigwa Risasi kwa Lissu?

Mnaanzia wapi kumuamini na kumsikiliza huyu mzee enyi watu? Ninyi mnafikiri ni kwanini watanzania wengi kwa sasa wamempuuza na kupelekea kukosa kabisa ushawishi na nguvu kwa watanzania? Jibu ni kuwa watanzania wamegundua kuwa huyu mzee ni muongo, kigeugeu, Mchonganishi na kinyonga asiye na msimamo zaidi ya kutapatapa tu na kupigania maslahi yake binafsi. Ndio sababu alipopewa Ubalozi alitulia tulii kama Maji mtungini.

Dkt Slaa ni lazima atambue ya kuwa heshima huwa hairudi mara mbili. Aliheshimika na kusikilizwa awali kwa sababu watu walikuwa gizani juu yake. Lakini sasa watu wanajua rangi yake halisi kuwa ni mtu msaliti,muongo, kigeugeu na kinyonga. Hivyo hakuna anayeweza kusikiliza uzushi wake na kumuunga mkono.hakuna wa kumsikiliza wala kupoteza muda wake kutega sikio kusikiliza uongo wake. Kwa sasa yeye atulie tu na kuendelea kujutia makosa yake na kuomba msamaha kwa Mungu wake. Uongo na uzushi hauwezi kumrejeshea heshima aliyoipoteza Mwenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Watanzania hawawezi kufuata maneno ya pumbavu kama wewe. Watanzania wanakupuuza wewe shetani unayekaribia kufa. Jinga. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Mungu akusamehe sana maana hujui ulitendalo
 
amewahi kuudanganya Umma hadharani kuwa kuna Kontena linaingiza maboksi ya kura Feki Nchini . Mwisho wa siku baada ya uchunguzi ilikuja kubainika ni uongo na Mzee alikuwa ameudanganya Umma.
Nani alifanya uchunguzi?
Kwa miaka ya karibuni kuna uchaguzi wowote unaofanyika bila ccm kuingiza kura feki?!

View: https://youtube.com/shorts/4kAdyEwuvD8?si=JLB0VBzgBqwmbI9z

Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Duuh
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Huyo babu proved to everyone uongo na unafiq wake
1. Church
2. Watoto
3. EL
4. Ubalozi
5. Chadema kuna watekaji
6. Issue ya Lissu kupigwa risasi sio ajabu
7. Ana taarifa za ndani mbowe kapewa bilioni 12
8. Hajawahi kurudisha kadi ya ccm
9. Nimerudi chakandumuz

Mzee is playing the ndumuz kilaini sana
 
Hakuna mtanzania Mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono kauli za kichochezi na ubaguzi zinazotolewa na mtu asiye na uzalendo kwa Taifa letu

Kauli za kununua ebola na empox unaziweka kwenye kundi gani?
 
Back
Top Bottom