Dkt. Slaa: Ni wapumbavu pekee ndio wanaweza kubinafsisha Maeneo muhimu ya Nchi

Dr Slaa amesema anaamini Lowassa alishinda uRais wa JMT Mwaka 2015

Source: Star tv
Wacha upuuzi wa Kimburu wa huko Hanang wa kuchota magadi yanayotokana na kudra za Allah kisha waenda kubalishana na mahindi. ,yaani na kukaa kwako Canada kwa fadhila zaMagufuli bado hujajua English Hadi Leo Nani aliyekufundisha Agreement ni mkataba pambafff unajifanyafanya TU hapa kutafuta sifa , Mshamba weeee
 
Naunga mkono HOJA!!!

Bandari ni lango la Nchi.

Bandari ni eneo nyeti, halikodishwi, halibinafsishwi ni hatari Kwa USALAMA wa Nchi.
 
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema alizunguka nchi nzima kuelezea Ufisadi wa Lowasa sasa angewezaje Kulamba matapishi kwa kumnadi tena kwa Wananchi kama Mgombea uRais wa JMT kwa ticket ya Chadema?

Kwa maana hiyo niliamua kuondoka Chadema

Kaguswa kweny mshono 🤣🤣🤣🤣!!! Nasimama na kauli ya Mastermind Rostam ✔️✔️✔️✔️
 
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema alizunguka nchi nzima kuelezea Ufisadi wa Lowasa sasa angewezaje Kulamba matapishi kwa kumnadi tena kwa Wananchi kama Mgombea uRais wa JMT kwa ticket ya Chadema?

Kwa maana hiyo niliamua kuondoka Chadema

Source: Star tv
Yuko sahihi na kila mtu anajua hata Mimi nisingeweza, aliamua kusimamia alichokiamini na hivyo ndiyo inavyotakiwa
 
Kasema kweli ndio... ila inaonekana ubunge ni mtamu, unautaka 2025
 
Wacha upuuzi wa Kimburu wa huko Hanang wa kuchota magadi yanayotokana na kudra za Allah kisha waenda kubalishana na mahindi. ,yaani na kukaa kwako Canada kwa fadhila zaMagufuli bado hujajua English Hadi Leo Nani aliyekufundisha Agreement ni mkataba pambafff unajifanyafanya TU hapa kutafuta sifa , Mshamba weeee
Mbona kama unamwambia dr slaa kwani ndio huyo??
 
Back
Top Bottom