Dkt. Slaa: Nilijiona ndani ya moyo wa Rais Magufuli

Kasema ukweli kwa mama Happ tumepigwa vibaya mno hatuna mkuu hapa
Ni geresha la kikatiba ndio liko kazini
Kiasi useme hivyo kwa sababu ulikuwa ukifaidika kwenye utawala wa dikteta magufuli lakini wengi sasa wamepata uhakika wa usalama wao sasa hakuna watu kutekwa, hakuna watu kuokotwa kwenye vipolo, hakuna kuwekwa nadani watu indefinite bila kesi kwisha uchunguzi kubabakizia watu kesi za uhujumu uchumi na ugaidi ,kukandamiza wapinzani kama si raia wa nchi hii yote haya ulikuwa huyaoni, halafu ubaguzi katika mikopo ya elimu ya juu wakati wa magufuli mikopo ilitolewa kwa kozi maalumu ambazo wao walizipa kipaumbele lakini sasa mikopo hutolewa kwa kozi yoyote ambayo mwanafunzi anataka kusema ilhali ana vigezo na mkopo atarejesha tena bila ya riba ya retention basi yote hayo hamuyaoni kwamba nchi sasa iko kwenye mikono salama. Huyo dr. Slaa yote hayo kwa sababu magufuli alimuhonga ubalozi na samia hakumuwacha kuendelea na ubalozi kama alivyowaacha wengine.
 
Flying under JPM Star..., kuna watu nadhani hawajaona hii Fursa.. JPM was a polarizing leader and a propaganda machine.... am sure wengine wengi watakuja kusafiria nyota yake.. Bila kusahau a dead man can do no wrong...

That's Politics 101
Save it for another day[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio jamii forum,kila kitu kipo...
 
La Mzee
Uchawa anauweza...ukimsimamissha Slaa wa CHADEMA na huyu ni chui na Paka!
 
Kasema ukweli kwa mama Happ tumepigwa vibaya mno hatuna mkuu hapa
Ni geresha la kikatiba ndio liko kazini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukweli mchungu
 
Hapo amedhani amesifia lakini ameonyesha Weakness / Mapungufu yake.....

Kutokufuata utaratibu sio sifa wala jambo la kuendeleza ni jambo la kupinga (kama alitakiwa kuomba Kibali basi angefanya hivyo) utaratibu wa kufuata sheria no matter wewe ni nani ndio ustaarabu
 
Kumbe JPM wapo wengi nchi hii !! Kongole kwa Dr Slaa !! IPO siku ukweli utadhihiri !!
 
Kasema ukweli kwa mama Happ tumepigwa vibaya mno hatuna mkuu hapa
Ni geresha la kikatiba ndio liko kazini
Sasa huyu mama alijipa umakamu wa Rais? Kama hawezi nani alaumiwe?
Kasema ukweli kwa mama Happ tumepigwa vibaya mno hatuna mkuu hapa
Ni geresha la kikatiba ndio liko kazini
Huyu aliupataje umakamu? Nani alimpendekeza? Alaumiwe Nani?
 
Tatizo kubwa huku mitaani ni vitu muhimu kupanda bei mkuu ! Na hilo linamgusa moja kwa moja mwananchi wa hali ya chini ambao ndio wengi sana hapa nchini !! Hayo mengine hawayajui wao wanaangalia their daily bread baas !!!
 
Ndiyo alizuia,hadi akapanga bei ya sukari,wafanyabiashara wa sukari wakaificha,nayeye akaagiza itafutwe hadi ndani walipoficha na itaifishwe,kwa Sasa bidhaa inapanda holela tu
 
Yani leo Padre Slaa wa kutuelezea Watanzania kuhusu Magufuli?

Jitu katili, lipenda sifa, liuwaji, fashisti, liongo kupindukia, hivi huwa watu wanatuchukuliaje? Ule uongo wake wa kukamata kontena la karatasi za kura Tunduma bado hajaacha?
 
Umesahau kuweka namba za simu au walishaacha kuomba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…