Dkt. Slaa: Nilijiona ndani ya moyo wa Rais Magufuli

Flying under JPM Star..., kuna watu nadhani hawajaona hii Fursa.. JPM was a polarizing leader and a propaganda machine.... am sure wengine wengi watakuja kusafiria nyota yake.. Bila kusahau a dead man can do no wrong...

That's Politics 101
Nani asafirie nyota ya mwendazake,labda mwehu kama Sabaya na Makonda.
 
Kuna watu bado hawaamin kwamba Magufuli alikuwa anapendwa sasa ngoja uchaguzi ufike halafu atokee mgombea aseme yeye ataofuata nyayo za JPM uone shangwe Lake.
 
Nani asafirie nyota ya mwendazake,labda mwehu kama Sabaya na Makonda.
Nadhani hujui Politics..., JPM aliweza kuwagawa watu kuna waliompenda kindakindaki, pia zile propaganda zake ilionekana kwamba tulikuwa kwenye njia sahihi (na sababu ameondoka kabla ya muda) na walioingia kuna mambo yanafanyika inaonekana huenda alikuwa ana point na huenda alivyokuwa anasema tunaibiwa na sasa yanayotokea huitaji expert wa conspiracy theory kuonyesha kwamba JPM alikuwa anaongea ukweli (hata kama ilikuwa kweli au sio kweli); Hivyo wanasiasa watumia matukio wanaweza kusema zile ndoto na ile ahadi aliyowaahidi JPM mimi nitaitekeleza...,

Mfano issue ya Machinga haikuwa sustainable kwa muda mrefu kuendelea kubangaiza mitaani (wala haikuwa kuwatetea sababu kulikuwa hakuna sera ya kuboresha maisha yao na kuondokana na uchuuzi wao) ila wao waliamini hivyo kwamba huyo ndio anayewatetea na bila huyo wangeishi kama wakimbizi (sasa bado huoni kwamba kuna mtaji wa kura hapo)? By the time wanashituka kwamba hakuna kinachoendelea miaka mitano au kumi imepita amekuja kiongozi mwingine...

Hizo ndio siasa zetu piga uongo na Propaganda pata madaraka, fanya vitu vidogo vidogo vya kuonekana leo na sio muda mrefu hayo ya kesho muachie mwingine...
 
Kupitia Rais Magufuli tulipata sauti ya Wanyonge,alikuwa Mwanademokrasia wa kweli na mpenda haki, wamachinga walipewa vitambulisho na wakafanya biashara ya halali,je uko si kutenda haki!? Mama ntilie waliruhusiwa kuuza barabarani,je uko si kutenda haki!!? Au haki hadi watendewe wakubwa!?.

Fact fact fact
 
Amatus Liyumba.
 

Shukuru Mungu hujapigwa risasi mzee!
 
Hivi hawa wazee hua wanafeli wap jamaniii? si akafuge tu jamanii au hela zote Hua wanahonga tu? Mbona kina Mwandosya hawapo hivii? Kwa kweli Chadema ilimsitiri tu... Alikua anaihitaj Chadema kuliko hata Chadema inavyomuhitaji.... Mushumbusi kabeba hela zote anaanza kulia lia njaa 2.. Ningekua mimi ningetulia tulii nifuge nilime kidogo nitengeneze michongo ya mirad ya wafadhili mana alikua nchi nzuri tu kashindwa Kurd hata na mradi wa maji kijijini kwake?
 
Weee ni kichaaa hamtakaa mfute legacy ya Magufuli Kwa sababu ya ukabila wenu na uchu wa Madaraka.Magufuli ni icon ya uongozi uliotukuka kwa kizazi hiki cha nyoka itachukua mia
💯 kumpata rais aliyejali wanyonge
 
Dr.Slaa umesema ukweli ngoja waje WAURU waanze kutukana
 
Mbona hakusimamama kuyasema haya akiwa hai, yaonekana ana lake jambo kwa waliopo sasa
 
Ina Jerry Slaa amezeeka hivi?
Ni watu wawili tofauti, Jerry ni Mbunge wa Ukonga, Dr Slaa ni balozi mstaafu wa Sweden zamani alikuwa Chadema akitumia sana Mihogo kama chakula chake pendwa.
 
Weee ni kichaaa hamtakaa mfute legacy ya Magufuli Kwa sababu ya ukabila wenu na uchu wa Madaraka.Magufuli ni icon ya uongozi uliotukuka kwa kizazi hiki cha nyoka itachukua mia
💯 kumpata rais aliyejali wanyonge
Legacy inawapa msongo wa mawazo,yule ni rais kichaa haojawahi kutokea,alikuwaanafanya restructuring bila kufuata principle za uchumi,Kaumiza watu wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…