Pre GE2025 Dkt. Slaa: Nilipotoka CHADEMA niliwaambia wameleta Choo sebuleni kwa maana Walianza kutetea Ufisadi tulioupinga miaka yote!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dkt. Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote

Dkt. Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi

Source: Clouds media
 
Dr Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote

Dr Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi

Source: Clouds media
Subirini muone wachagga watakavyo poromosha matusi aisee
 
Dr Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote

Dr Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi

Source: Clouds media
Kwa kuongezea ana ushahidi kutoka tume ya maadili kwa mantiki hiyo Chadema walitukosea sana watanzania kwa sababu ya tamaa zao watuombe radhi zaidi ya hapo ikulu wataisikia redio tu!
 
Dr Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote

Dr Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi

Source: Clouds media

Mwenyekiti bana 👇👇👇😁

Huyu padri atulie, akatubu kwa Mungu na wanadamu wenzake
 
-UFIKE WAKATI DR. SLAA AKABIDHIWE UENYEKITI CHADEMA, NA MBOWE AWE MAKAMU MWENYEKITI BARA.
-lissu ashike nafasi ya meneja hamasa!
 
Back
Top Bottom