Pre GE2025 Dkt. Slaa: Nilipotoka CHADEMA niliwaambia wameleta Choo sebuleni kwa maana Walianza kutetea Ufisadi tulioupinga miaka yote!

Pre GE2025 Dkt. Slaa: Nilipotoka CHADEMA niliwaambia wameleta Choo sebuleni kwa maana Walianza kutetea Ufisadi tulioupinga miaka yote!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dr Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote

Dr Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi

Source: Clouds media
Halafu Slaa akakimbia sebuleni ili kwenda kula na kulala chooni kabisa.
 
Yuko sahihi kabisa! Kuja kwa late ENL kulichafua hali ya hewa.
CDM ifikirie kumrudisha kundini.
 
Dr Slaa huwa anasema hakujiunga na CCM bali alipewa wadhifa wa kuitumikia nchi.
In England, apartment and cookie are known as flat and biscuit respectively, but they're still the very same things that are being referred to.
 
Hana hoja, kuondoka ki-vyovyote ni usaliti, yaani maana yake umeweka maslai yako binafsi mbele. Kutofautiana ndiyo ukomavu wa kiitikadi, sasa atakimbia vyama vingapi ikiwa kila anakoenda watu wanatofautiana naye au yeye anatofautiana nao?

I was told, he was a serious guy not a joker
Mara nyingi alikua anazingua ila kwa hilo alisema ukweli
 
Dkt. Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote

Dkt. Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi

Source: Clouds media
So?
 
Yuko sahihi

Chadema kipindi cha Slaa kiliaminiwa sana na wananchi kwa kujitambulisha kama chama cha kupinga ufisadi kama agenda kuu tena kwa takwimu zilizoshiba

Sasa hivi Chadema hamna kitu pale lime baki jina tu na agenda ambazo hazina impact kwa mwananchi na vigumu kuzielewa .Ya kupambana na ufisadi wananchi wengi waliielewa.Ilieleweka kwa wasomi na wasio wasomi watu wa mijini na vijijini wa ndani ya nchi na nje ya nchi.Wafadhili wa ndani na nje
 
Dkt. Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote

Dkt. Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi

Source: Clouds media
Huyu ndio alikuwa mleta maono wa CHADEMA.
Baada ya kuondoka na lichama likafa kifo cha mende miguu juu!
 
Back
Top Bottom