johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mh! Wewe umeelewa kweli?Hivi Clauzi hawajadiriki kumuuliza yeye alipotimkia Sisiemu, choo alikihamishia'pi?
Slaa hakutimkia CCM.Hivi Clauzi hawajadiriki kumuuliza yeye alipotimkia Sisiemu, choo alikihamishia'pi?
Subirini muone wachagga watakavyo poromosha matusi aiseeDr Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote
Dr Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi
Source: Clouds media
Kwa kuongezea ana ushahidi kutoka tume ya maadili kwa mantiki hiyo Chadema walitukosea sana watanzania kwa sababu ya tamaa zao watuombe radhi zaidi ya hapo ikulu wataisikia redio tu!Dr Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote
Dr Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi
Source: Clouds media
Chama Cha Mwabukusi ( ChaChaMwa) πΌHivi yupo Chama gani saa hii?
Dr Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote
Dr Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi
Source: Clouds media
Aiseee!Chama Cha Mwabukusi ( ChaChaMwa) πΌ
Mpinge kwa Hoja πHuyu padri atulie, akatubu kwa Mungu na wanadamu wenzake
Hana hoja, kuondoka ki-vyovyote ni usaliti, yaani maana yake umeweka maslai yako binafsi mbele. Kutofautiana ndiyo ukomavu wa kiitikadi, sasa atakimbia vyama vingapi ikiwa kila anakoenda watu wanatofautiana naye au yeye anatofautiana nao?Mpinge kwa Hoja π
Basi tuseme alikimbilia Sisiemu. Hapo vipi lakini?Slaa hakutimkia CCM.
Nikuulize wewe kama kweli umeielewa mada husika na pia hoja yangu kunte. πMh! Wewe umeelewa kweli?
Dr Slaa huwa anasema hakujiunga na CCM bali alipewa wadhifa wa kuitumikia nchi.Hivi Clauzi hawajadiriki kumuuliza yeye alipotimkia Sisiemu, choo alikihamishia'pi?
Ukijiunga na CCM lazima upewe T-shirt na Kofia πDr Slaa huwa anasema hakujiunga na CCM bali alipewa wadhifa wa kuitumikia nchi.