Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Halafu Slaa akakimbia sebuleni ili kwenda kula na kulala chooni kabisa.Dr Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote
Dr Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi
Source: Clouds media
Alienda kulala jikoni 😀😀Halafu Slaa akakimbia sebuleni ili kwenda kula na kulala chooni kabisa.
Ulitaka aonyeshe ushahidi gani? Maneno na matendo yake wakati akiwa CHADEMA ni ushahidi tosha. Hata CCM walikuwa wanamwogopa na kumchukia.Ukijiunga na CCM lazima upewe T-shirt na Kofia 😂
Dr Slaa hakuwahi kuhama CCM
Wewe ni kummmaChadema ni wajinga sana
In England, apartment and cookie are known as flat and biscuit respectively, but they're still the very same things that are being referred to.Dr Slaa huwa anasema hakujiunga na CCM bali alipewa wadhifa wa kuitumikia nchi.
Lini ulisikia Dr. Slaa kahamia CCM?Hivi Clauzi hawajadiriki kumuuliza yeye alipotimkia Sisiemu, choo alikihamishia'pi?
Unafananisha mambo ambayo hayafanani.In England, apartment and cookie are known as flat and biscuit respectively, but they're still the very same things that are being referred to.
Mara nyingi alikua anazingua ila kwa hilo alisema ukweliHana hoja, kuondoka ki-vyovyote ni usaliti, yaani maana yake umeweka maslai yako binafsi mbele. Kutofautiana ndiyo ukomavu wa kiitikadi, sasa atakimbia vyama vingapi ikiwa kila anakoenda watu wanatofautiana naye au yeye anatofautiana nao?
I was told, he was a serious guy not a joker
Lini ulisikia hayumo Sisiemu?Lini ulisikia Dr. Slaa kahamia CCM?
Clouds WANAFIKI wananuniliwa km dada poa na kutumika kwa maslahi ya ccm Nani hajui? Labda Lukas.Hivi Clauzi hawajadiriki kumuuliza yeye alipotimkia Sisiemu, choo alikihamishia'pi?
Nilihariri kitabu chake cha Nyuma ya Pazia...alipoondokq CCM aliondoka hadi fikra...Lini ulisikia hayumo Sisiemu?
So?Dkt. Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote
Dkt. Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi
Source: Clouds media
Kwahiyo CCM kuna vyoo unaamini hivyo? Na hatutakiwi hata kufungua milango yake? Kuogopa harufu au?Ktk hilo NASIMAMA NA Dr Slaa mpk kufa.
Dr. Slaa alisema Chadema wameleta kinyesi sebuleni, kinyesi kinakaa chooni,hivyo CCM ndiyo choo chenyewe kwa maana hiyo wana CCM wote ni mavi. Sawa sawa?Chadema ni wajinga sana
So
Ni kweli kabisaDr. Slaa alisema Chadema wameleta kinyesi sebuleni, kinyesi kinakaa chooni,hivyo CCM ndiyo choo chenyewe kwa maana hiyo wana CCM wote ni mavi. Sawa sawa?
Yuko sahihiDkt. Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote
Dkt. Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi
Source: Clouds media
Ni lini alitimkia CCM?Hivi Clauzi hawajadiriki kumuuliza yeye alipotimkia Sisiemu, choo alikihamishia'pi?
Huyu ndio alikuwa mleta maono wa CHADEMA.Dkt. Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote
Dkt. Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama kimehamishia Choo sebuleni kwa maana ya Ufisadi
Source: Clouds media