Yuko sahihi
Chadema kipindi cha Slaa kiliaminiwa sana na wananchi kwa kujitambulisha kama chama cha kupinga ufisadi kama agenda kuu tena kwa takwimu zilizoshiba
Sasa hivi Chadema hamna kitu pale lime baki jina tu na agenda ambazo hazina impact kwa mwananchi na vigumu kuzielewa .Ya kupambana na ufisadi wananchi wengi waliielewa.Ilieleweka kwa wasomi na wasio wasomi watu wa mijini na vijijini wa ndani ya nchi na nje ya nchi.Wafadhili wa ndani na nje