mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Shikamoo jamiiforums!!Dr. Slaa ni Moja ya watu wanaochukizwa na wananchi kumtetea Mbowe: amedai anakwazika akisikia watu wanasema Mbowe Siyo Gaidi huku akitaka mahakama iachwe ifanye kazi yake.
Wakati akiumizwa na wapenda haki kusimamia haki ameshindwa kueleza anajisikiaje anaposikia Watu wa chama chake CCM wakisema adharani kwamba Mbowe ni Gaidi kinyume kabisa na status ya kesi mahakamani.
Kwa wanaopenda haki nadhani Dr. Slaa amepuliza kipenga Cha watu kumkera zaidi na zaidi Kwa kutamka Mbowe Siyo Gaidi.
Hao ndo zao wanamchukia mtu kwa sababu ya dini yake yani hii nchi tuna wapumbavu wengi sana.Mkuu acha udini kabisa kwani mojawapo ya madharti wanayopewa Ni kusaidia Jamii je kujenga misikiti,kuchimba visima,shule, hospital Ni dhambi? Mbona haya Mambo yapo tangu na tangu hao wamechimba Sana visima vya maji katika Taasisi za Elimu maeneo tofauti tofauti Tanzania sikuwahi kusikia malalamiko,Slaa arejee hii kauli yake kwa Mbowe.
Mahakama iachwe ifanya kazi yake👏👏Na mimi sitaki kusikia kuwa Slaa siyo mhaini wacha Mahakama ifanye kazi yake
mmeanza kufukua nyuzi za nyuma sio.Mahakama iachwe ifanya kazi yake[emoji122][emoji122]
Akinyongwa hawezi kusema, ila kabla ya kunyongwa anaweza kusema.Akinyongwa sijui atasema nini?
Ningependa nimsikie "Mama nisamehe nina familia"...A
Akinyongwa hawezi kusema, ila kabla ya kunyongwa anaweza kusema.
So umekiri palikuwa na harufu ya RUSHWA, hapo hapo unapinga kuwa mkataba Ule si BATILI na FAKE?Mbona hapa Tanzania kuhonga upate tender ni jambo la kawaida Tokea Enzi za Nyerere Mwinyi Mkapa Kikwete Magufuli nini ambacho ni cha ajabu?
Kupinga bandari zetu kugawiwa Bure Kwa RUSHWA kamwe haiwezi kuwa uhaini!!!!Mkuu unaizungumziaje kauli yake aliyoitoa wakati wa kesi ya uhaini ya Mbowe?
Labda wewe ni mgeni hapa Tanzania sisi tulioanza na Nyerere tunajua Tanzania bila hongo hakuna kitu kinachoendeleaSo umekiri palikuwa na harufu ya RUSHWA, hapo hapo unapinga kuwa mkataba Ule si BATILI na FAKE?
To prove the pointmmeanza kufukua nyuzi za nyuma sio.
Tulimwambia Jpm aache kiburi cha uzima, tulimwambia pia na Slaa. Yako wapi sasa.To prove the point
Mpaka ukacheka maana yake umenielewa vilivyoKivipi mkuu?
Nimecheka sana
Aisee mkuu, kumbe ule muda umeshika jembe na chepeo/spade ukatupita pale tumekaa kwenye kivuli cha mti wa Mvule tukiwa tunacheza draft, kumbe ulikua unaelekea Makaburini kufukua Kaburi?.Aisee acha Mungu aitwe Mungu tu wakuu.
Najua kuna watu wana macho, lkn hawaoni. Wana vichwa lkn hawana akili.
View attachment 2719183
Hahahahaha internet huwa haisahau!Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
“Katika masuala yaliyoko mahakamani ninaona kwanza kuna sura inatumika, kwenda kule Mahakamani kama sehemu ya siasa kitu ambacho mimi sikubaliani nacho.
“Hivyo sijaenda kwa kuwa ni kitu ambacho sikubaliani nacho, sikubaliani na principal ambayo inatumika, mnaenda kule kisha mnaanza kujipiga picha na mpo kwenye mitandao, hiyo ni siasa, mimi sichezi hizo siasa.
“Mimi nikiamua kumtembelea Mbowe nitaenda nyumbani kwake, sitaki kufanya kitendo cha Mbowe kuwa gerezani kuwa siasa, kama ni kumuombea nitauombea kwa nafsi yangu.
“Niliudhika tangu siku ya kwanza na yale maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema Mbowe siyo gaidi?
“Wanatakiwa kuachia chombo cha haki kitoe maamuzi siyo wananchi.
“Lakini sina chuki na Mbowe wala sina uadui, nimeshakutana na Mbowe mara kadhaa airport, tukakumbatiana, tukabadilishana namba japo hakuna aliyempigia mwenzake,” anasema DK SLAA.
Source: MwanaHalisi
Nakuonea huruma sana kijana kama wewe kugeuzwa daraja na wanasiasa uchwara wakishirikiana na wakili njaa.Kupinga bandari zetu kugawiwa Bure Kwa RUSHWA kamwe haiwezi kuwa uhaini!!!!
PoleNakuonea huruma sana kijana kama wewe kugeuzwa daraja na wanasiasa uchwara wakishirikiana na wakili njaa.
Bahati nzuri mimi sio mtu wa kushikiwa akili wala kugeuzwa daraja. Mwanasiasa uchwara au wale walioshikiwa akili wakiniambia kuwa bandari imeuzwa kitu cha kwanza nitahitaji ushahidi wa kuona na macho ili niamini kile wanachosema.
Hizi sio zile zama za Lowasa, kukusanya watu kule mwembeyanga na kudanganya watu kwamba Lowasa ni fisadi eti na ushahidi wanao, afu mwisho mwaka 2015 kwenye uchaguzi wanasema eti Lowasa sio fisadi.
Hivi inawezekana vipi leo useme fulan mwizi afu kesho useme sio mwizi, kama wewe sio muongo ni kitu gani.
Mwl Nyerere aliwahi kuwaonya watanzania juu ya hawa wanasiasa uchwara waongo ambao wanatumia ujinga wa watanzania kama wewe kufanya siasa za uongo kwa faida zao na familia zao.
Unashindwa kutumia akili kuwaza hata jambo dogo tu kwamba kama wamekamatwa kwa sababu ya kupinga mkataba mbona kina kardinal Pengo, mzee Warioba, prof Tibaijuka, Mbowe, Lisu na wengine wengi wapo mtaani wanadunda.
Hebu weka mkataba hapa ili tuone kipengele kilichoandikwa kuwa bandari imeuzwa ili iwe rahisi na sisi kuunga na wapinga bandari, sio ulete maneno matupu yasiokuwa na maana hapa JF
Ndiyo maana somo la historia linafundishwa mashulenimmeanza kufukua nyuzi za nyuma sio.