Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama sisimizi na kila aliyemwambia alikuwa na maadui wengi, alimwambia afungue TV yake zilizorekodi umati wa watu katika vituo vyote ambavyo mwili wake ulipita.
Nasikia umerudi Tz bila Josephine! Pole sana, dhambi ya usaliti inazidi kukutafuna
 
Huyu mzee Silaa vipi? Nani alimuambia Jiwe aliumwa? Mzee Katelephone si aliuambia ulimwengu kwamba jiwe yupo ofisini anachapa kazi? Mtu anayepiga kazi anaombewa ili iweje?
 
Huyu mzee basi tu, anamaanisha mtu wao aombewe ila risasi za Lissu alidai ilikuwa kawaida Lissu hakuwa wa kwanza kupigwa risasi, sasa kwani mgonjwa wao alikuwa mtu wa kwanza kuugua?

Hii dunia tuchunge sana midomo yetu.
Kwani Lissu alikuwa Rais?
 
EeeenHeeeee!

Tanzania itakapoachana na matapeli kama mtu huyu, hapo ndipo tutaanza hatua za maendeleo.

Sasa hapa anahimiza kitu gani. Asikike kwamba na yeye bado yupo?

Atambue yupo njia moja na akina Lyatonga, 'relevance' hata kama ilikuwepo ndogo, ndiyo hivyo tena ishaondoka na haipatikani tena.
 
Kwa wanaodhani huyu anajiongelesha tu muweke nukuu. He is a man of principles na kila kauli yake ina uzito, soon you will see what he means to all Tanzanians...Am just happy, a bouncing back of patriots!
 
Ungeomba mpaka unye mavi magumu Bado asingepona. Na maombi ya wenye dhambi ni kelele mbele za mungu.

Lijitu limeondolewa baada ya mauwaji na utekaji. Alikuwa na hasira na Lissu baada ya uchaguzi akatuma migambo wake kwenda kumkamata lissu ubalozi wa ujerumani Ili limuue ikashindikana.

Mungu akalipiga mapigo ya faraoh kuanzia wasaidizi wake mpake yeye wote Waka fyekeleewa mbali ndani ya mwezi mmoja TU.

Nchi kimyaa
 
Kwani wewe hukutangaziwa maombezi ya Tundu Lissu?
Hukuona watu walivyokuwa wakisakwa ili wasivae T-shirt' za kumuombea Lissu? Hivi hata aibu hamna mnapojifanya kusahau mambo yaliyo wazi? Wakati mwingine achana na hizi takataka za mavyama, kwa sababu zinakuondoa akili kichwani.

Jaribu kuwa binaadam tu, na utumie akili yako vizuri uliyojaliwa na Mwenyezi Mungu.
 
Mimi binafsi nilimwombea Tundu Lisu uponyaji kwa Mungu wa mbinguni.

Lakini sikuvaa t shirt kwa sababu sikuona uhusiano!
 
Hata hivyo, sala za mtu kama Dr Mhogo zingesaidia kitu gani. Huyu Slaa ni tapeli tu
 
umati wa mchongo Mzee


umati wa nyokooo
 
alafu huyu babu ajue kabsa Hiyo Ruhusa ya kumuombea meko tungeipata Mimi na watz tulio wengi tungemuombea afe mapema zaidi Kwanza alichelewa Sana kufa.
 
Sawa hatukuomba ila hata tungeomba mapenzi ya Mungu lazima yatimie
Tuliomba mungu atuondelee KERO!!!

Akakubali faster liliugua siku mbili akafa bila kunya hata mavi. Yule baada ya maombi yetu kukubalika mungu alimtwaa haraka lakini alifagia kihenge chote pale ikulu.

Na alivyokuwa hovyo alijijjengea maadui muhimbili akapelekwa zahati za vichochoroni ambako hata ABC za COVID hawana.

Akafa faster.

Mungu fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…