CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
NimekusikiaDr Slaa ni kati ya wasomi wa kiwango cha juu sana Tanzania Eastern Africa na Africa. PhD - zaidi ya shahada nne! inatambulika duniani. Wewe sijui una shahada ngapi and you dare talk ill of him?.
Tayari akili zimekimbia mfukoni. Ukijiunga na CCM lazima kujivua akili.Eti jambo LA kawaida!Yeye alishapigwa risasi Mara ngapi?
Huyi mzee anyamaze tu....ataharibu na kujiaribia. Tunajuayupo kwenye payroll ya Tiss tangu miaka ya 80. Anyamaze ameshamaliza kazi ya kuharibu upinzani. Hakufanikiwa na uteuzi bila kuapishwa ni sifa ya kijinga.Kajichanganya sana kwenye swali linalomuhusu Lissu, huku yeye anasema alipotaja List of shame alikua na maadui wengi na aliwaita waandisha akawaambia, huku upande wa pili akisema amekimbilia Canada kwa sababu ni moja ya nchi zinazoheshimu haki za binadam, kwa nini hakukimbilia Polisi..
Kaongea vizuri sana kwenye mambo mengine, ila lilipokuja swala la Lissu hekima aliamua kuiweka pembeni... anaonekana ana hasira sana na Lissu
Haya ndio matokeo ya elimu yetu kamwe hatutakaa tutoke hapa tulipo.Ikiwa mwanadamu mwenye akili timamu anaweza kuliona tukio lile kuwa ni jambo la kawaida....tumedidimia chini mno.
Evidence pls, or rather shut it up!List of shame iliandaliwa na Tundu Lissu na ikasomwa na Dr. Slaa hadharani baada ya aliyeiandaa (Lissu) kugwaya kuisoma kwa kuogopa kupelekwa kotini.
kwenda zako huko ................. ushahidi umepotezwa maana pale ni eneo linalolindwa lina cctv camera kila kona lina geti inafunguliwa na kufungwa na walinzi sasa unasemaje hakuna mashahidi pu.mbafu kabisa huu upuuzi kamdanganyeni mtoto wa chekechea hamna hata haya mchewwNi kweli kabisa na kila siku nimeendelea kusema humu JF ya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha unathibitisha mtu aliyemdungua Lissu risasi. Nikaendelea kuwapa member walalamishi wasiotaka kuelewa wakereketwa wa upande wa pili kama wana evidence wapeleke polisi haki itendeke washukiwa wafikishwe kortini.
Note;"huna haki ya kuzungumza pasipo kuwa na ushahidi wa kile unachokizungumza"
Wilbroad Slaa ni sawa na Alhad Salum wa Dar es salaam. Mwizi wa mke wa mtu, ana uadilifu gani ni hiyo alikuwa anamezewa kwa vile basi tu.