Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Dr Slaa ni kati ya wasomi wa kiwango cha juu sana Tanzania Eastern Africa na Africa. PhD - zaidi ya shahada nne! inatambulika duniani. Wewe sijui una shahada ngapi and you dare talk ill of him?.
Nimekusikia
 
Napenda sana wanasiasa kwa jinsi wanavyobadilisha misimamo yao zaidi ya kinyonga.yule mwingine leo unasikia akisema anampenda magu balaa.hahaaaa.hawana mishipa ya aibu hata kidogo.sikutegemea kauli kma hii itoke kwa dr.
 
Jambo la kawaida
Usaliti mbaya sana duh mambo ya dunia yanavyonaswa kwenye mipango ya shetani shetani mbaya sana.
 
FikraPevu Hii ni headline ya kiudakuudaku. Dk Slaa hajamtolea uvivu Lisu bali amewatolea uvivu uvivu wananchi waliosononeshwa na tukio lile. Hiyo moja.

Lakini Pili, Dk Slaa sasa amepoteza credibility kidogo aliyokuwa amebaki nayo, na ni bahati mbaya kwamba ameipoteza kupitia kwenye tukio la kupigwa risasi kwa TL na bahati mbaya zaidi credibility yake anaipoteza kupitia kuamua kupambana na wananchi ambao rohoni wanapambana dhidi ya "wasiojulikana"!

Angalau Dk Slaa japo anaelewa, angeendelea kuelewa zaidi kwamba tawala huwa zinapita, hivyo ni bora kuwa na wananchi hata kama unakula mihogo kuliko kuungana na " wasiojulikana" ili upate mkate!
 
kwa hili LA Slaaa JF mumeitendea forum haki yake Asanteni
 
Kajichanganya sana kwenye swali linalomuhusu Lissu, huku yeye anasema alipotaja List of shame alikua na maadui wengi na aliwaita waandisha akawaambia, huku upande wa pili akisema amekimbilia Canada kwa sababu ni moja ya nchi zinazoheshimu haki za binadam, kwa nini hakukimbilia Polisi..

Kaongea vizuri sana kwenye mambo mengine, ila lilipokuja swala la Lissu hekima aliamua kuiweka pembeni... anaonekana ana hasira sana na Lissu
Huyi mzee anyamaze tu....ataharibu na kujiaribia. Tunajuayupo kwenye payroll ya Tiss tangu miaka ya 80. Anyamaze ameshamaliza kazi ya kuharibu upinzani. Hakufanikiwa na uteuzi bila kuapishwa ni sifa ya kijinga.
 
Ikiwa mwanadamu mwenye akili timamu anaweza kuliona tukio lile kuwa ni jambo la kawaida....tumedidimia chini mno.
Haya ndio matokeo ya elimu yetu kamwe hatutakaa tutoke hapa tulipo.
 
Huyu mzee mnafiki sana, wakati tunapigwa mabomu soweto alikuwa wa kwanza kusema Polisi wamerusha bomu, tena kweny mikutano ya hadhara, mbona hakuenda polisi?

Haya, pale mwembe yanga alisoma the list of shame, kwa nini hakwenda polisi badala yake akasema hadharani? Mimi nadhani ndiyo maana upadre ulimshinda, Mungu alishaona mzee ni mnafiki na anajipendelea ndo maan akamfukuzia mbali.

Mambo yote haya ni kwakuwa ameokota dodo kwenye mnazi, ogopa sana mtu anayeuza duka la jumla (supermarket) apewe cheo kikubwa ambacho hajatarajia, anaweza kusema hata matusi ilimradi bwana mkubwa afurahi.

Huyu huyu slaa aliwahi kusema kama angekuwa Raisi angempeleka mahakamani Magu kwa kuuza nyumba za serikali, Leo hii mzee anakunya kunya tu........shithole!!!!!!
 
Yanayotokea Tanzania unabidi ucheke tu hakuna jinsi
 
List of shame iliandaliwa na Tundu Lissu na ikasomwa na Dr. Slaa hadharani baada ya aliyeiandaa (Lissu) kugwaya kuisoma kwa kuogopa kupelekwa kotini.
Evidence pls, or rather shut it up!
 
Slaa ana kisasi moyoni hana furaha baridi ya Canada huwa inagandisha hadi ubongo
 
Ni kweli kabisa na kila siku nimeendelea kusema humu JF ya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha unathibitisha mtu aliyemdungua Lissu risasi. Nikaendelea kuwapa member walalamishi wasiotaka kuelewa wakereketwa wa upande wa pili kama wana evidence wapeleke polisi haki itendeke washukiwa wafikishwe kortini.

Note;"huna haki ya kuzungumza pasipo kuwa na ushahidi wa kile unachokizungumza"
kwenda zako huko ................. ushahidi umepotezwa maana pale ni eneo linalolindwa lina cctv camera kila kona lina geti inafunguliwa na kufungwa na walinzi sasa unasemaje hakuna mashahidi pu.mbafu kabisa huu upuuzi kamdanganyeni mtoto wa chekechea hamna hata haya mcheww
 
Wilbroad Slaa ni sawa na Alhad Salum wa Dar es salaam. Mwizi wa mke wa mtu, ana uadilifu gani ni hiyo alikuwa anamezewa kwa vile basi tu.
205.jpeg
 
Wakala wa kanisa dola la magu. Kupiga risasi wengine ni kawaida ila kwao kupigwa risasi siyo kawaida na haitatokea.
 
Apeleke njaa zake huko! Hivi anatunza watoto?
 
Slaa anaungana na watesi wa Tundu Lissu? Kweli siasia ni mchezo mchafu, ila kwa mtu aliyesaliti kiapo cha Upadri ana ujasiri mkubwa wa kusaliti hata nafsi yake.
 
Back
Top Bottom