Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Njaa ni kitu kibaya sana. Tumasamehe bure kwa kuwa njaa huondoa akili na maarifa.
 
Hivi jamani..Tundu lissu ni nani hapa tanzania? Nchi hii ilipoteza kina sokoine kina nyerere nk. Kwamba yeye hana maadui mtaani? Mbona watu wengi tu wanapigwa risasi na tunalasni basi. Mbona huyu kuna watu wanaona as if he is so importnt than many others
 
Kuna mitazqmo inaonyesha kuwa tukio lile si la kisiasa wala halihusiani nalo. bali linhusiana na kawi yake ya uwakili kwamba kuna kesi alikuwa anaisimamia kama angekuwepo mtu angefungwa maisha. Ikabidi ifanyike figisu jamaa asiwepo mahakamani.
 
Kweli Rushwa adui wa haki
 
Kuna mitazqmo inaonyesha kuwa tukio lile si la kisiasa wala halihusiani nalo. bali linhusiana na kawi yake ya uwakili kwamba kuna kesi alikuwa anaisimamia kama angekuwepo mtu angefungwa maisha. Ikabidi ifanyike figisu jamaa asiwepo mahakamani.
Sijakupata vyema mkuu
 
GENTAMYCINE
MKuu kuja usikie maneno ya msomi (PhD) wako unae mkubali anachoongea.

Nayaheshimu maneno yake ya siongezi wala sipunguzi na ninachojua tu ni kwamba kama Tanzania ingekuwa na Watu 100 tu wenye IQ kubwa na za Kuzaliwa kama za Balozi Mteule Dr. Wilbroad Peter Slaa leo hii ama tungekuwa tuko sawa na Malaysia au Singapore au China na hata kukimbizana na London na New York Kimaendeleo tofauti na ilivyo sasa ambapo Tanzania tunapiga tu ' mark time ' katika ' Nyanja ' nyingi.
 
Basi naomba tusaidiane jambo hili kwa wale ambao wanawajua watu wanaohusika katika tukio Zima la Tundu Lissu watujuze ili chombo kinacho husika kikawachukue nawe ukiwa shaidi wa jambno hilo. ila kama hujui chochote wacha.
 
baba kuna watu ile kuwajibu tu unajidhalilisha,neno ushahidi lisitumike kama bomu kuficha hata yaliyo dhahiri,hii nchi bora ingeongozwa na mbuzi labda wao watatuzidi akili na utu.
 
ilikuwa sio lazima ajibu mkuu sio kila kitu kinajibika. labda ni punguani au uzee unamuelemea.
 
hawa mpaka yamkute mtu wa familia yake ndio huwa wana shtuka na kujiapiza
 
sijui kiingereza lakini like
 
Ilikuwa ni suala la muda ili hata watu wanaochelewa kusoma alama za nyakati kuweza hatimaye kuona ni namna gani daktari wetu alivyobadili gia angani kwa sababu tu hakupewa nafasi ya kugombea uongozi.

Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya kuwa mwanasiasa na unafiki ni kama pete na kidole. Nani ataaminika tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…