Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Ni aibu kwa Dr Slaa kuwa chombo cha propoganda cha MaCCM. Aibu.Tayari akili zimekimbia mfukoni. Ukijiunga na CCM lazima kujivua akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu kwa Dr Slaa kuwa chombo cha propoganda cha MaCCM. Aibu.Tayari akili zimekimbia mfukoni. Ukijiunga na CCM lazima kujivua akili.
Njaa ni kitu kibaya sana. Tumasamehe bure kwa kuwa njaa huondoa akili na maarifa.Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida na ameitaka jamii kuliacha Jeshi la Polisi kukamilisha upelelezi na kutoa majibu.
Dkt. Slaa ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds juu ya hali ya kisiasa ya Tanzania na mustakabali wa maisha yake baada ya kuondoka CHADEMA, amesema hafurahishwi na baadhi ya watu kuwataja hadharani watuhumiwa wa tukio hilo kwasababu linaharibu uchunguzi wa polisi.
“Mimi kinachoniudhi ni hii watu kusema hadharani kwamba kuna hiki na hiki tunasuspect (tunahisi) waliofanya ni fulani. Sheria inasema ukihisi nenda polisi katoe taarifa sio unaenda kwenye vyombo vya habari”, amesema Dkt. Slaa.
Amesema hawezi kuzungumzia kwa undani suala la Lissu kupigwa risasi, ikizingatiwa kuwa watu wengi wamepigwa risasi nchini na kazi ya kuwabaini wahalifu waliomshambulia ni ya polisi sio viongozi wa siasa au wananchi.
“Lakini kama binadamu hakuna anayependa binadamu yeyote aumizwe lakini matukio haya ya kuumizwa yametokea nchi hii kwa watu wengi sana. Na mimi sio chombo cha dola kujua kwamba unanyoosha kidole kwa kitu ambacho hatukiamini; mimi ni msomi”, amesema Dkt. Slaa na kuongeza kuwa,
“Ukitoa taarifa za upelelezi unaharibu upelelezi. Mimi niko Canada mauaji yapo kila siku na watu wanapotea, wanapigwa risasi wakiulizwa polisi wanakwambia suala hilo liko kwenye upelelezi tukifikia hatua nzuri tutatoa taarifa”.
Kuna mitazqmo inaonyesha kuwa tukio lile si la kisiasa wala halihusiani nalo. bali linhusiana na kawi yake ya uwakili kwamba kuna kesi alikuwa anaisimamia kama angekuwepo mtu angefungwa maisha. Ikabidi ifanyike figisu jamaa asiwepo mahakamani.Dr Slaa kasema tukio lile ni jambo la kawaida? Kama ni kweli ameongea haya maneno nitamtoa maanani moja kwa moja!
Nadhani anataka kutumika kuendesha propaganda kuwa Lissu hakushambuliwa kwasababu za kisiasa!
Ukisoma btn the lines, kusema ni jambo la kawaida, ni sawa na kudownplay tukio zima! Of which nimeshangazwa sana!
Ubalozi aliopewa, naona mojawapo ya masharti, ni “ubalozi wa propaganda dhidi ya Lissu”
Sasa karata ya serikali ya ccm dhidi ya Lissu ni Slaa, mark my words!
Kweli Rushwa adui wa hakiBalozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida na ameitaka jamii kuliacha Jeshi la Polisi kukamilisha upelelezi na kutoa majibu.
Dkt. Slaa ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds juu ya hali ya kisiasa ya Tanzania na mustakabali wa maisha yake baada ya kuondoka CHADEMA, amesema hafurahishwi na baadhi ya watu kuwataja hadharani watuhumiwa wa tukio hilo kwasababu linaharibu uchunguzi wa polisi.
“Mimi kinachoniudhi ni hii watu kusema hadharani kwamba kuna hiki na hiki tunasuspect (tunahisi) waliofanya ni fulani. Sheria inasema ukihisi nenda polisi katoe taarifa sio unaenda kwenye vyombo vya habari”, amesema Dkt. Slaa.
Amesema hawezi kuzungumzia kwa undani suala la Lissu kupigwa risasi, ikizingatiwa kuwa watu wengi wamepigwa risasi nchini na kazi ya kuwabaini wahalifu waliomshambulia ni ya polisi sio viongozi wa siasa au wananchi.
“Lakini kama binadamu hakuna anayependa binadamu yeyote aumizwe lakini matukio haya ya kuumizwa yametokea nchi hii kwa watu wengi sana. Na mimi sio chombo cha dola kujua kwamba unanyoosha kidole kwa kitu ambacho hatukiamini; mimi ni msomi”, amesema Dkt. Slaa na kuongeza kuwa,
“Ukitoa taarifa za upelelezi unaharibu upelelezi. Mimi niko Canada mauaji yapo kila siku na watu wanapotea, wanapigwa risasi wakiulizwa polisi wanakwambia suala hilo liko kwenye upelelezi tukifikia hatua nzuri tutatoa taarifa”.
Sijakupata vyema mkuuKuna mitazqmo inaonyesha kuwa tukio lile si la kisiasa wala halihusiani nalo. bali linhusiana na kawi yake ya uwakili kwamba kuna kesi alikuwa anaisimamia kama angekuwepo mtu angefungwa maisha. Ikabidi ifanyike figisu jamaa asiwepo mahakamani.
HATA WEWE UNWEZA KUPELEKA POLISI SUALA HILO. KWANI LOWASSA SIO MWIZ?Yeye ile list of shame alikwenda kutoa taarifa Polisi au TAKUKURU? Au anavyokomaa kuwa Lowasa ni fisadi kuna taarifa yoyote aliyoipeleka TAKUKURU?
GENTAMYCINE
MKuu kuja usikie maneno ya msomi (PhD) wako unae mkubali anachoongea.
baba kuna watu ile kuwajibu tu unajidhalilisha,neno ushahidi lisitumike kama bomu kuficha hata yaliyo dhahiri,hii nchi bora ingeongozwa na mbuzi labda wao watatuzidi akili na utu.Quite a comedian
Polisi mpaka leo hawajui aliyemuua Mawazo
Polisi hawajui alipo Saanane
Hawajui alipo mwandishi wa mwananchi
Aliyewateka Roma na Ulimboka ni kitendawili hata kama wenyewe wanawafahamu
Nini kina kufanya udhani suala la Lissu litatuliwa?
ilikuwa sio lazima ajibu mkuu sio kila kitu kinajibika. labda ni punguani au uzee unamuelemea...Dr.Slaa amejibu kama BALOZI wa Tz.
..kwa wadhifa wake huwezi kutarajia atoe jibu tofauti na alilotoa.
..lakini pia kuna mahali Dr ameteleza.
..kama anadai tukio la TL kushambuliwa kwa risasi ni jambo la kawaida hata huko Canada, basi atueleze ni lini MNADHIMU wa kambi ya UPINZANI ya CANADA alishambuliwa kwa risasi wakati wa vikao vya BUNGE.
hawa mpaka yamkute mtu wa familia yake ndio huwa wana shtuka na kujiapizaCCTV cameras kufichwa na upande wenu ni evidence tosha....vipi zile footage za clauz Bashite aka Paul Makonda chupuchupu kuwakill vijana wa Shilawandu mulizikataa ....mungu anaona ...endelea kushabikia umwagaji wa damu za watu wa Yehova bila hatia!!
sijui kiingereza lakini likeSlaa ni wa kupuuza tu hana maana kabisa, anatoa shukrani kwa rushwa waliyompa aisambaratishe chadema. Kisiasa aliishajiishia kitambo na ni sawa na garasha.
Swala la Lissu ngoma bado mbichi.
No stone will be left unturned, it's just a matter of time. The potential culprits will one day be brought before justice to account for their crime, regardless of their social status.