Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Nimeangalia interview ya Dr Slaa, hakika CDM ilipoteza jembe sana. Dr ana upeo wa hali juu
 
FikraPevu Huyu mzee kwa hakika ameshuka sana viwango vyake vya ufikiri. Yaani kwake, mtu kumiminiwa risasi 32 tena kwenye maeneo ya serikali yanayolindwa ni jambo la kawaida???? Kwa akili, mshumbusi sasa anamzidi huyu mzee wetu
 
Inafikirisha sana
 
kweli siasa ni mchezo mchafu na ili uwe mwanasiasa maarufu lazima uwe comedian wa maneno, hatari sana sikutegemea kabisa km huyu mzee yangemtoka maneno km haya Amejitahidi sana kulinda ubalozi wake
Hatari sana
 
Huyu mzee alikuwa mpumbavu hivi jamani kweli duniani watu wawe na akiba ya maneno kama alisema haya atakuwa alilewa ubalozi
 
Ila wabongo kwa kufukua makaburi duuuh? kwa hiyo na yeye kupewa kesi ya uhaini napo ni kawaida tu sasa maana hata Mdude nae kapewa
Hujafa hujaumbika
Balozi, Mgombea Urais, Katibu wa Baraza la Maaskofi mstaafu, Katibu wa zamani wa Chama kikuu cha Upinzani, Mwnykt wa Kamati za Bunge leo hii unakamatwa sambamba na Mdude aliotegeshewa Demu wa Ki Arusha aliemtegeshea madawa ya kulevya daah
 
Muoshwa huoshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…