Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Halafu saa hizi usishangae kukuta Josephine yuko na kibenten kinamsuguwa Kipere G.
Hiyo ya Josephine inaibuliwa muda si mrefu.
CCM ukisha wasumbua sana unatakiwa uwe makini mno wanapoamua kujifanya wanakuchekea na kukumbatia uwe mwenzao, lazima wakuchakaze kwa gharama zozote zile. Wapo tayari wakupe title yoyote wakuvute, wakuinue juu then.wakuchakaze vibaya. Kuwawezea hawa moja uwe kama Tundu Lissu, pili kataa ofa zao, ni mitego hiyo.
 
Back
Top Bottom