Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Naipenda sana Nchi yangu hata kama kuna matatizo siwezi kuiombea mapinduzi ya kijeshi.

Huyu Mzee wa Kinyaturu alienda too far na sijui kama ataweza kubeba mtondoo na uzee wite huo
Baba yako mbona anabeba
 
Bado yupo Canada ?
 
Sitakaa nisahau hili
 
Mzee Kibao kifo chake ( Mauaji ) kawaida.
Lissu jaribio la mauaji Kawaida.

Kumbe siku nikitandika risasi na kuua watu ni kawaida.
Wale walioswekwa ndani waachiwe tuje tufanye ukawaida mitaani.
 
Mzee Kibao kifo chake ( Mauaji ) kawaida.
Lissu jaribio la mauaji Kawaida.

Kumbe siku nikitandika risasi na kuua watu ni kawaida.
Wale walioswekwa ndani waachiwe tuje tufanye ukawaida mitaani.
Kawaida maana yake nini?

We Hujui Mzee Karume aliigwa risasi umesahau kuwa RC wa Iringa Mr.Kreuu alipigwa risasi, wewe hujui kuwa Raisi Kennedy wa US alikufa kwa risasi.

Umesahau kuwa Martin Ruther JR alipigwa risasi. Iv wewe Hujaona majuzi Trump risasi ilivyopita sikion? Unashangaa nini wewe ? Tupac alikufa kwa risasi hata Notorious BIG alikufa kwa risasi. RPC Mwanza Mr Baro alikula risasi. Unashangaa nini wewe?
 
Naona mnajitahidi kupausha uhalifu.
Ingependeza tuje tutestie huo ukawaida kwako tuone unafananaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…