Pre GE2025 Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania leo na siyo Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo n
Huo ni ukweli 100%
 
Mbona hayo maneno ya Lisu kuwa Raisi Leo na sio oktoba hayapo zaidi ya kuwepo kwenye kichwa cha taarifa ya thread
 
Kwanchi sawa lkn sikwa chama kwasababu kuongoza nchi ni kuepesi kwakuwa anamajeshi anaweza kudictate na watu wakatii tofauti na kuwa opposition AMBAPO hekima busara zinaomhoza zaidi

..kuongoza nchi sio rahisi kwa kila mtu.

..Mrs.Hazifi hata hotuba imekuwa changamoto, anazidiwa na Lissu anayeandika hotuba mwenyewe.
 
Duuuuh ila SILAAA
 
Kumbe matamshi haya ndio chanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…